Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nini maoni yako hapo kwenye kikosi hicho.

Kuna uwezekano Matic naye akarudi

Maboresho kwa mtazamo wangu

Pereira kwa Fredy, Matic (kama amepona completely) kwa Tominay na Dalot kwa Young
Screenshot_2019-03-08-10-45-45.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini maoni yako hapo kwenye kikosi hicho.

Kuna uwezekano Matic naye akarudi

Maboresho kwa mtazamo wangu

Pereira kwa Fredy, Matic (kama amepona completely) kwa Tominay na Dalot kwa Young View attachment 1040761

Sent using Jamii Forums mobile app

Dalot ni solskjaer mpya huyo game changer mwache atokee bench mtu akilala humo tunamtoa anaingia huyo dogo
 
Watu wamekazana kumtaja taja OGS ila kuna mtu pale hatajwi kabisa anaitwa Mike Phelan, huyu ndio mastermind ya mabadilko haya ya Man U .....Ole wa kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Phelan ana mchango mkubwa sana kwenye mabadiliko yanayoendelea pale United

Pia Michael, na Mc Kena na Dempsey

Angalia game zinapokuwa zinaendelea utaona Ole mara kwa mara anaongea na wote au mmoja wao

Lakini kama timu ikifanya vibaya huwa hatuwataji saaaana hao wengine (japo inabidi tuwape sifa zao) huwa tunamponda sana meneja

Hivyo sio zambi hata kwenye mafanikio tukimsifia zaidi meneja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamekazana kumtaja taja OGS ila kuna mtu pale hatajwi kabisa anaitwa Mike Phelan, huyu ndio mastermind ya mabadilko haya ya Man U .....Ole wa kawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Angepewa timu awe manager then.
Hatukatai uwezo na uzoefu wake kuwa msaada mkubwa kwa Ole, ila sio kumshusha OLE na kufanya aonekane kama Kibadeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom