Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani uku mtaani, mitandaoni kote mnasumbua ..kama mmefika fainal vile au ndo mumeshanyanyua kwapa..

Mkishinda ni tatizo ...siku marefa wakiacha kuwabeba kidogo kutatulia..

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnateseka sana watu wanashangilia timu yao hata wakifungwa huzuni inawapata wao
 
Arsenal wanakutana na United Jumapili

Arsenal akitoka kufungwa goli 3-1 na timu inayoshika nafasi ya 10 kwenye Ligi ya Wakulima, na ikizidiwa points 37 na anayeongoza ligi (Rennes)

United akitoka kuifunga PSG goli 1-3,timu inayoongoza Ligi ya Wakulima na ikiwa imemzidi mbabe wa Arsenal points 37 kwenye ligi hiyo

Halafu bado kuna washabiki wa Arsenane wanaota ndoto


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunamuombea apone mapema.
Screenshot_20190308-101746_Samsung%20Internet.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom