ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Ninataka kusema hawezi kuongeza chochote kwa kulinganisha na watu ambao tayari wapo OT
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha nilisikia alisema atawapa chansi naona kabadili gia angani
Icard yupo vizuri sanaMjomba hakuna Striker pale OT ambae anafika level za Icardi sema labda hujamjua jamaa vizuri..Icardi walikuwa wanafukuzana na Higuain kipindi alvyokuwa Napoli na Juve na Mara nyingi amekuwa akimzidi magoli japo inter hawakuwa vzr kihvyo!
Hapo na Mimi nilistuka asee
Ha ha ha ha ha yaani nikishaonaga tu avatar yako najua Martial hayuko salama. Alifanyaje ndugu? Ha ha ha ha haNa huyo Martial aangalie mpira hapa, kila mchezaji anapambana kivyake, Lukaku anasumbuka kule Mata anazunguka kote Rashford yuko moto...Yeye alizoea kukaa pale mbele kushoto anasubiria mipira!!!! na asipone kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial siwezi kumlinganisha na Lukaku ndio,
Kwanza naamini Lukaku ni bora kuliko martial ni vile tu Lukaku hayupo kwenye form.
Wakati mwingine naona Lukaku hajapata mtu wa kumpelekea mipira/kumchezesha kwa aina ya uchezaji wake!!
Tizama mipira mingingi anayopokea kwa match tofautitofauti, ni counter ndefu na mara nyingi zinamkuta peke ake mbele.
Kwa sasa naona kelele za mashabiki zinampunguzia confidence na umakini pia.
Lukaku ni mchezaji mkubwa mno compared to Martial.
Japo nimechelewa kukushukuru ila nikushukuru sana. Hii app ni nzuri balaa.
ndo mnapoenda ukoCity ni small team
Unashangaa Man kushangilia baada ya kuifunga Cardiff
Vipi City walihuzunika kupigwa na Cristal Palace?
Sent using Jamii Forums mobile app
NilikumissTatizo ubusy mwingi nikiingia naishia majukwaa mengine huko

Hongera yetu kwa ushindi wa jana na pole kwa mashabiki wa Chelsea wanaoishi humu ndani.... Binafsi jana nimetoa doubt zote juu ya Ole na ingekuwa kwa idhini yangu Ole angepewa mkataba wa Miaka 5 Leo kabla ya saa 4.......
Inashangaza timu ile ambayo watu humu walisema ifumuliwe tununue timu mpya, leo hii inaoerform kwa kiwango cha juu na morale kuwa ya juu sana..... Binafsi naipongeza timu nzima kuanzia benching la ufundi hadi subs ambazo hazikucheza maana umoja iliopo ndiyo chachu ya mafanikio...... Ander Herrera,, nashindwa nisemaje ila anastahili mkataba wa Miaka 5 uyu kijana kwa mchango wake katika club.....
Pia naona shida yetu bado ipo kwenye defence hasa centre na hata fullback maana Chelsea walitupa shida mno, pia kuliziba tatizo hili tunaweza sajili winger wa kulia mkali sana atakaezuia wapinzani kupanda sana upande wa kulia.....
Leo nimeahinda na scout wachezaji mbalimbalu kuwajua kiundani.... Centre half wakuja nadhani ni Kati ya skinnier au Koulibally....namba 7 nimemuangalia Federico Chiesa wa Fiorentina na Sancho nadhani Sancho mzuri kwani kiumri mdogo na speed inaruhusu....namba 2 tusisajili tungoje kina mensah na Alex tuanzebe warudi tuwapime nao......
Namba 6 msaidizi wa matic ni muhimu sana nmewaza tu endapo tungekuwa na Matic na Axel witsel ingekuwaje?..... Kulingana na takwimu nadhani tunahitaji midfielder Kati ya ndombele au Neves.... Namba 9 kutokana na kuanza kuchipukia kwa Greenwood pia Rashford kuonesha kiwango kizuri nadhani tumuache lukaku apambane nao hawa, kwani akija icardi atataka aingie kwenye timu moja kwa moja na hii itaniua confidence ya Rashford.......
But all in all hatupo mbali na ufalme kwa kikosi hiki ukiongeza Sancho, Skinnier o Koulibally na ukiongeza ndombele au Neves lazima tusumbue .....
Sijamsahau Joao Felix dogo wa Miaka 19 second striker na attacking Midfielder ya Benfica... Naona namba 10 tungeweza msajili aje awe mrithi wa Mata na baada ya kumfuatilia vzuri nahitimisha kama Jose ''the big talent is there he has a potential to be a great player" ananikumbusha kaka enzi anachipukia he is crinical.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba hakuna Striker pale OT ambae anafika level za Icardi sema labda hujamjua jamaa vizuri..Icardi walikuwa wanafukuzana na Higuain kipindi alvyokuwa Napoli na Juve na Mara nyingi amekuwa akimzidi magoli japo inter hawakuwa vzr kihvyo!
Hongera yetu kwa ushindi wa jana na pole kwa mashabiki wa Chelsea wanaoishi humu ndani.... Binafsi jana nimetoa doubt zote juu ya Ole na ingekuwa kwa idhini yangu Ole angepewa mkataba wa Miaka 5 Leo kabla ya saa 4.......
Inashangaza timu ile ambayo watu humu walisema ifumuliwe tununue timu mpya, leo hii inaoerform kwa kiwango cha juu na morale kuwa ya juu sana..... Binafsi naipongeza timu nzima kuanzia benching la ufundi hadi subs ambazo hazikucheza maana umoja iliopo ndiyo chachu ya mafanikio...... Ander Herrera,, nashindwa nisemaje ila anastahili mkataba wa Miaka 5 uyu kijana kwa mchango wake katika club.....
Pia naona shida yetu bado ipo kwenye defence hasa centre na hata fullback maana Chelsea walitupa shida mno, pia kuliziba tatizo hili tunaweza sajili winger wa kulia mkali sana atakaezuia wapinzani kupanda sana upande wa kulia.....
Leo nimeahinda na scout wachezaji mbalimbalu kuwajua kiundani.... Centre half wakuja nadhani ni Kati ya skinnier au Koulibally....namba 7 nimemuangalia Federico Chiesa wa Fiorentina na Sancho nadhani Sancho mzuri kwani kiumri mdogo na speed inaruhusu....namba 2 tusisajili tungoje kina mensah na Alex tuanzebe warudi tuwapime nao......
Namba 6 msaidizi wa matic ni muhimu sana nmewaza tu endapo tungekuwa na Matic na Axel witsel ingekuwaje?..... Kulingana na takwimu nadhani tunahitaji midfielder Kati ya ndombele au Neves.... Namba 9 kutokana na kuanza kuchipukia kwa Greenwood pia Rashford kuonesha kiwango kizuri nadhani tumuache lukaku apambane nao hawa, kwani akija icardi atataka aingie kwenye timu moja kwa moja na hii itaniua confidence ya Rashford.......
But all in all hatupo mbali na ufalme kwa kikosi hiki ukiongeza Sancho, Skinnier o Koulibally na ukiongeza ndombele au Neves lazima tusumbue .....
Sijamsahau Joao Felix dogo wa Miaka 19 second striker na attacking Midfielder ya Benfica... Naona namba 10 tungeweza msajili aje awe mrithi wa Mata na baada ya kumfuatilia vzuri nahitimisha kama Jose ''the big talent is there he has a potential to be a great player" ananikumbusha kaka enzi anachipukia he is crinical.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Eleza kidogo,Umepotea njia mkuu!
Mkuu naheshimu sana mawazo yako kumchukua icard ni sawa na kuwa na lukaku tu
Eleza kidogo,
Binafsi naeleza ninachokiona mimi sio wanachozungumza watu!
Martial bado mtoto sana kulinganisha na Lukaku ktk hii field!
Ndo kwanza Martial anajitafuta bado hata hajui anataka nini hasa kwa Career yake!!
Pamoja nduguIshu ya Icardi kutokuitwa National timu haihusiani kabisa na Technical ability ya jamaa hyo inahusiana na swala la nidhamu,Icardi shida yake ndo hyo ila kiuwezo yupo level za kina Aguero na anamzidi Higuain!
Alihusika kwenye kuharibu ndoa ya Rafiki/Team mate wake Maxi Lopez kwa kulala na mke wake na baadae kumuoa kabsa alivyo achana na Lopez..kitendo hicho kiliwakera sana wa Argentina wengi na ndo maana Messi akatoa mapendekezo kama Captain jamaa asiitwe ili kuwe na amani kwenye timu!
Ahsante kwa maelezo, nimekuelewa Bro.Yaani unamfananisha Icardi na Lukaku duuh...nway Kila mtu na mtizamo wake aisee!
Kujibu hili swali ni ngumu sababu mambo yako mengi sema ntafupisha..
Kwanza ngoja niseme ni kweli Lukaku sio mchezaji mbaya sema sahv hayupo kwenye form, ila pamoja na hayo ana weakness nyingi sana kwenye game yake kuliko Martial na kumbuka Martial ni mdgo kwake hvyo anaweza improve zaidi,Lukaku ni Pure n.o 9 wakati Martial ni Complete Forward (anaweza cheza kokote mbele) sababu; ( technically Martial ni bora zaidi).
1.Martial anaweza kudribble (kukimbia na mpira kwa kasi na kufanya skills) vizuri zaidi ya Lukaku
2.First touch ya Martial ni bora kuliko Lukaku (kitu muhimu sana kwa striker anavyopokea pasi; fundi wa hii alikuwa Berbatov)
3.Martial ni Mtulivu zaidi akipata chance ya kufunga kuliko Lukaku
4.Martial anaweza kutengeneza Chances/Assist nyingi kuliko Lukaku
5.Martial anaweza kuhold mpira na kucheza pass/one twos) na wenzake vizuri zaidi ya Lukaku.
Kiufupia Lukaku ameshafikia prime age ya kushine lakin tunaona anazingua wakati Martial bdo mdogo lakin anafanya makubwa na hapo anafanya kwa kurelax je akianza kukaza itakuwaje?
Kwa kutumia historia Lukaku bora zaidi ya Martial ila kwa hivi karibuni na sasa kwa ujumla Martial ni zaidi ya Lukaku kabisa bila ubishiYaani unamfananisha Icardi na Lukaku duuh...nway Kila mtu na mtizamo wake aisee!
Kujibu hili swali ni ngumu sababu mambo yako mengi sema ntafupisha..
Kwanza ngoja niseme ni kweli Lukaku sio mchezaji mbaya sema sahv hayupo kwenye form, ila pamoja na hayo ana weakness nyingi sana kwenye game yake kuliko Martial na kumbuka Martial ni mdgo kwake hvyo anaweza improve zaidi,Lukaku ni Pure n.o 9 wakati Martial ni Complete Forward (anaweza cheza kokote mbele) sababu; ( technically Martial ni bora zaidi).
1.Martial anaweza kudribble (kukimbia na mpira kwa kasi na kufanya skills) vizuri zaidi ya Lukaku
2.First touch ya Martial ni bora kuliko Lukaku (kitu muhimu sana kwa striker anavyopokea pasi; fundi wa hii alikuwa Berbatov)
3.Martial ni Mtulivu zaidi akipata chance ya kufunga kuliko Lukaku
4.Martial anaweza kutengeneza Chances/Assist nyingi kuliko Lukaku
5.Martial anaweza kuhold mpira na kucheza pass/one twos) na wenzake vizuri zaidi ya Lukaku.
Kiufupia Lukaku ameshafikia prime age ya kushine lakin tunaona anazingua wakati Martial bdo mdogo lakin anafanya makubwa na hapo anafanya kwa kurelax je akianza kukaza itakuwaje?
Kwa kutumia historia Lukaku bora zaidi ya Martial ila kwa hivi karibuni na sasa kwa ujumla Martial ni zaidi ya Lukaku kabisa bila ubishi