Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Kumtamani Icard na kumdharau Lukaku au Rashford au Martial inanikumbusha tabia ya Wanaume wengi
Unatamani demu wa mshikaji na kumuona wako kama wa kawaida, siku ukimpata huyo demu wa msela na kumuacha wako mara baada ya kumzoea unaanza kujuta tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani demu wa mshikaji na kumuona wako kama wa kawaida, siku ukimpata huyo demu wa msela na kumuacha wako mara baada ya kumzoea unaanza kujuta tena
Sent using Jamii Forums mobile app