Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu mnamuonaje Smalling? Naona jamaa kawa beki kitasa sana hasa kwa mechi hizi mbili baada ya majeruhi naona kaupiga mwingi na wametengeneza partnership nzuri na lindelof. Smalling anazuia mipira ya juu na ya chini pia kwa ufanisi sana.
ngoja kwanza ukutane na forward line iliyokamilika ndo ujiaminishe hiki ulichoandika, Smalling amekutana na Chelsea yenye forward butu na hiyo timu nyingine unayoisemea (sikumbuki timu gani) ili tujihakikishie

kipimo sahihi ni Liverpool, PSG na City
 
Martial siwezi kumlinganisha na Lukaku ndio,

Kwanza naamini Lukaku ni bora kuliko martial ni vile tu Lukaku hayupo kwenye form.

Wakati mwingine naona Lukaku hajapata mtu wa kumpelekea mipira/kumchezesha kwa aina ya uchezaji wake!!

Tizama mipira mingingi anayopokea kwa match tofautitofauti, ni counter ndefu na mara nyingi zinamkuta peke ake mbele.

Kwa sasa naona kelele za mashabiki zinampunguzia confidence na umakini pia.

Lukaku ni mchezaji mkubwa mno compared to Martial.
Lukaku ni mzuri kumshinda martial kwenye idara gani??

Yaani unawalinganisha kwa kutumia factor gani??
 
Wakuu mnamuonaje Smalling? Naona jamaa kawa beki kitasa sana hasa kwa mechi hizi mbili baada ya majeruhi naona kaupiga mwingi na wametengeneza partnership nzuri na lindelof. Smalling anazuia mipira ya juu na ya chini pia kwa ufanisi sana.
Bailly nimepoteza imani naye kabisa..its better Smalling acheze na Lindelof
 
Lukaku ni mzuri kumshinda martial kwenye idara gani??

Yaani unawalinganisha kwa kutumia factor gani??

Nazungumzia rate zao za ubora in a perfect form.

Namuona Lukakaku aliye jitosheleza na Martial anaye hitaji juhudi kujikamilisha.

Hii ni kusema Lukaku ni bora kwa nafasi yake kuliko Martial.
 
Huyu ole gunna solskjaer wakuu tukiongea bila unafiki wachezaj anaopata nao matokeo ni wale kama sir alex alivyokuwa na wakina cleverly na anderson wa kawaida sana eneo linalompa shid ni namba 9 kwa lukaku na 7 ya sanchez plus namba 5 mmoja wa maana

Ukiangalia sub anazofanya bado utamaduni wetu jana kanifurhisha kumpa natasi andreas perreira ana iman na academy Zaidi hakujali makosa ya burnley

Ed woordward baada ya mechi kwisha niliona akifurahi balaa maana kumfunga chelsea nyumban tena goli mbili si mchezo
Kama watambakisha ole inabidi tuingie sokoni tusake namba tisa mkali,RW,RB,CM na DM mmoja maana matic msimu ujao naona atazidi kuwa mzito..
 
ngoja kwanza ukutane na forward line iliyokamilika ndo ujiaminishe hiki ulichoandika, Smalling amekutana na Chelsea yenye forward butu na hiyo timu nyingine unayoisemea (sikumbuki timu gani) ili tujihakikishie

kipimo sahihi ni Liverpool, PSG na City
Lakini hata msimu uliopita tunaweza kusema Smalling ndo alikuwa beki wetu bora
 
Pogba amehusika katika magoli 24 katika mashindano yote mpaka kufikia sasa goli 14 na assists 10 hajawahi kufanya hivi katika maisha yake ya soka...msimu bado unaendelea.

Manchester United imeitoa Chelsea na Arsenal katika mashindano ya FA ni kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 1998/99 ilivyofanya hivyo.

Manchester United imeifunga Chelsea kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wao wa nyumba (Stamford Bridge) mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa mwaka 2012 chini ya SAF
 
Wakuu mnamuonaje Smalling? Naona jamaa kawa beki kitasa sana hasa kwa mechi hizi mbili baada ya majeruhi naona kaupiga mwingi na wametengeneza partnership nzuri na lindelof. Smalling anazuia mipira ya juu na ya chini pia kwa ufanisi sana.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

COME ON united

cityzen chairman am here
 
Bwana harusi Kapuya anawasalimia Chelsea
Screenshot_20190219-123404~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwenye wasiwasi na OGS? kishakata mechi nne kubwa moja kapoteza kipimo tosha hicho apewe timu tu

Spurs=kafa

Arsenal= kafa

Psg= katutoroka

Chelsea=kafa
ha ha ha ha ha dah eti ARSENAL kafa naye

come on red devils

cityzen chairman am here
 
Back
Top Bottom