Hii pia ishanikutaWatu wanaangalia mpira lakini hawaelewi kabisa.
Kuna siku mtu alinibishia kuwa EPL mpira hutumika mmoja tu mpaka labda uharibike au upepo uishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii pia ishanikutaWatu wanaangalia mpira lakini hawaelewi kabisa.
Kuna siku mtu alinibishia kuwa EPL mpira hutumika mmoja tu mpaka labda uharibike au upepo uishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijawai kutegemea kama red devil win against cardiff city or arsenal then mnashangilia dah
great economic deppression after ww2
cityzen chairman am here
Ilibidi niipite tu hiyo comment.I am suprised unawaza vipi kumfananisha Lukaku na Martial wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa.
Martial anakupa kitu ambacho lukaku hakupi uwanjani na ila anachodeliver lukaku hata Martial anaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo vipi Chelse 0 Man U 2
Point yako ni ipi untataka de gea afunge?? Mbona Barça magoli meng wamefunga Messi na Suarez mbona husemi haohaoPogba na rashford wakikamatwa vizuri na timu pinzani basi tena hii timu haifurukuti
a tree is known by its fruit
Hahahaa hajui kitu kinaitwa squadPoint yako ni ipi untataka de gea afunge?? Mbona Barça magoli meng wamefunga Messi na Suarez mbona husemi haohao
Sent using Jamii Forums mobile app
aya we si unajitoa akili poaHizi ni pumba uliwahi kusikia bingwa epl anatangazwa kwa kumfunga liverpool au spurs?
aya we si unajitoa akili poa
cityzen chairman am here
Kwhy nyie city huwa mnashangilia pale mnapofunga timu zipi ?sijawai kutegemea kama red devil win against cardiff city or arsenal then mnashangilia dah
great economic deppression after ww2
cityzen chairman am here
Good question?Hizi ni pumba uliwahi kusikia bingwa epl anatangazwa kwa kumfunga liverpool au spurs?
Kwhy nyie city huwa mnashangilia pale mnapofunga timu zipi ?
Crystal palace?
Leicester city?
Au Wigan
Sent using simu mbovu
Huu ndio utaratibu, shemeji akileta jeuri hasira unamalizia kwa dada yake.Manchester United 0 - 2 PSG
Chelsea: Manchester United is over rated Manchester
United : Hold my beer
Chelsea 0- 2 Manchester United !!
Ilikuwepo miaka ile ya ferg lakin kabla hajastaafu wakaacha iyo styleWatu wanaangalia mpira lakini hawaelewi kabisa.
Kuna siku mtu alinibishia kuwa EPL mpira hutumika mmoja tu mpaka labda uharibike au upepo uishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
City ni small teamsijawai kutegemea kama red devil win against cardiff city or arsenal then mnashangilia dah
great economic deppression after ww2
cityzen chairman am here
Ndio inarudiwa ss3 hapa. Jana umeme ulizingua nikalalaANDER HERRERA:"Tatizo la chelsea tulijua lipo katikati pale alipo Jorginho na kocha akaniruhusu kuwa ninafika hapo kila mara na tulifanikiwa".
Mourinho baada ya kutoa 2-2 na chelsea mwezi wa 11/2018
"kucheza na chelsea ya sasa ni rahisi mnoo kwan kazi yako kubwa nikuharibu mipango ya Jorginho basi"
Sent using Jamii Forums mobile app