Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea hata EPL kwa Morinho walishangilia droo.. akatokea jamaa mmoja benchi la ufundi kwenda kumfanyia fujo Jozee.
Sarri pona yake ipo kwa final dhidi ya City..akishindwa kujitetea hapo basi kazi hana., anahitajika kocha wa mpito chelsea, aachwe ZOLA amalizie msimu.
 
Off course Matial anazingua sana! Hajitumi kama wengine wanavyoonyesha kujituma uwanjani!!

Hii match imfungue akili.
ni kweli Martial hajitumi hakabi ila huwezi kumfananisha na Lukaku boss

Martial akiwa na mpira anakuwa hatari tofauti na Lukaku akiwa na mpira anampelekea adui bure kabisa

kipi bora?? kukaba kwa nguvu na kwenda kumpa mpira adui au kutotumia nguvu na kwenda kufunga magoli
 
Kutokutumia nguvu bali kutumia akili na kufunga goli
 
ni kweli Martial hajitumi hakabi ila huwezi kumfananisha na Lukaku boss

Martial akiwa na mpira anakuwa hatari tofauti na Lukaku akiwa na mpira anampelekea adui bure kabisa

kipi bora?? kukaba kwa nguvu na kwenda kumpa mpira adui au kutotumia nguvu na kwenda kufunga magoli

Martial siwezi kumlinganisha na Lukaku ndio,

Kwanza naamini Lukaku ni bora kuliko martial ni vile tu Lukaku hayupo kwenye form.

Wakati mwingine naona Lukaku hajapata mtu wa kumpelekea mipira/kumchezesha kwa aina ya uchezaji wake!!

Tizama mipira mingingi anayopokea kwa match tofautitofauti, ni counter ndefu na mara nyingi zinamkuta peke ake mbele.

Kwa sasa naona kelele za mashabiki zinampunguzia confidence na umakini pia.

Lukaku ni mchezaji mkubwa mno compared to Martial.
 
it's only Cardiff
it's only Huddersfield
it's only Bournemouth
it's only BHA
it's only Reading
it's only Newcastle
it's only Spurs
it's only Leicester
it's only Burnley
it's only Arsenal
it's only Fulham
PSG (minor blip)
it's only Chelsea
up next; it's only the bottlers Liverpool
 
Off course Matial anazingua sana! Hajitumi kama wengine wanavyoonyesha kujituma uwanjani!!

Hii match imfungue akili.
Tumuongelee mchezaji kwa style hiyo ila siyo yule jamaa dawa ya ukimwi anavyo muongelea tena mchezaji wa timu unayoshabikia.

.
 
Wakuu mnamuonaje Smalling? Naona jamaa kawa beki kitasa sana hasa kwa mechi hizi mbili baada ya majeruhi naona kaupiga mwingi na wametengeneza partnership nzuri na lindelof. Smalling anazuia mipira ya juu na ya chini pia kwa ufanisi sana.
 
Chelsea hata EPL kwa Morinho walishangilia droo.. akatokea jamaa mmoja benchi la ufundi kwenda kumfanyia fujo Jozee.
Sarri pona yake ipo kwa final dhidi ya City..akishindwa kujitetea hapo basi kazi hana., anahitajika kocha wa mpito chelsea, aachwe ZOLA amalizie msimu.
Hiyo mechi nitakua naisupport Chelsea, kwa faida zangu.
1.Pep apoteze kombe la kwanza.(asije kuchukua vikombe vyote huyu)

2.Sari aendelee kuwepo ikiwezekana kwa msimu mwingine(hii nayo ina faida zake)

Sent using simu mbovu
 
Martial siwezi kumlinganisha na Lukaku ndio,

Kwanza naamini Lukaku ni bora kuliko martial ni vile tu Lukaku hayupo kwenye form.

Wakati mwingine naona Lukaku hajapata mtu wa kumpelekea mipira/kumchezesha kwa aina ya uchezaji wake!!

Tizama mipira mingingi anayopokea kwa match tofautitofauti, ni counter ndefu na mara nyingi zinamkuta peke ake mbele.

Kwa sasa naona kelele za mashabiki zinampunguzia confidence na umakini pia.

Lukaku ni mchezaji mkubwa mno compared to Martial.
I am suprised unawaza vipi kumfananisha Lukaku na Martial wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa.
Martial anakupa kitu ambacho lukaku hakupi uwanjani na ila anachodeliver lukaku hata Martial anaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ole gunna solskjaer wakuu tukiongea bila unafiki wachezaj anaopata nao matokeo ni wale kama sir alex alivyokuwa na wakina cleverly na anderson wa kawaida sana eneo linalompa shid ni namba 9 kwa lukaku na 7 ya sanchez plus namba 5 mmoja wa maana

Ukiangalia sub anazofanya bado utamaduni wetu jana kanifurhisha kumpa natasi andreas perreira ana iman na academy Zaidi hakujali makosa ya burnley

Ed woordward baada ya mechi kwisha niliona akifurahi balaa maana kumfunga chelsea nyumban tena goli mbili si mchezo
 
Martial siwezi kumlinganisha na Lukaku ndio,

Kwanza naamini Lukaku ni bora kuliko martial ni vile tu Lukaku hayupo kwenye form.

Wakati mwingine naona Lukaku hajapata mtu wa kumpelekea mipira/kumchezesha kwa aina ya uchezaji wake!!

Tizama mipira mingingi anayopokea kwa match tofautitofauti, ni counter ndefu na mara nyingi zinamkuta peke ake mbele.

Kwa sasa naona kelele za mashabiki zinampunguzia confidence na umakini pia.

Lukaku ni mchezaji mkubwa mno compared to Martial.
siwezi mfananisha Martial na Lukaku kila mmoja ni bora kwa nafasi yake
 
Back
Top Bottom