Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tulifanya ujinga sisi wenyew tulitakiwa kumchukua kabla hajaenda Chelsea, nikama tulivyozingua kumchukua De bruyne kabla hajaenda City..Chelsea hawawezi tuuzia Kante hata kwa Million 100,hawawezi rudia kosa walilofanya Kutuuzia Matic
Kante he is not happy with Sarri , In summer PSG will go for him if they resolve FFP issue with UEFA.

Chelsea wamewauza Mata,Matic,Oscar,Luiz,TBO, Lukaku,KDB,Costa miaka ya karibuni hata Hazard (their most valuable player) kama Madrid wakipeleka ofa wanamuuza hawawezi kuacha kutengeneza faida ya £60m challenge kubwa ni kama Chelsea watafungiwa na UEFA hawawezi kumuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matic anauza jezi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Matic kanunuliwa Kwa £35-40m akiwa na miaka 29 wakati wanamuuza waliona umri umeenda na Bakayoko angeziba nafasi yake now huwezi kumuondoa Kante Chelsea Kwa chini ya 80-100 .Depay,Basti, Zlatan,Di Maria, Sanchez,Pogba Woodward aliwasajili kirahisi sababu alijua watauza jezi kuongeza mapato

Ukiujua mkataba Kati ya Man utd na Adidas utaelewa unachozungumza hakina ukweli hata kidgo!
 
Mechi dhidi ya Liverpool ni mwanzo wa mechi zisizopungua 10 ambazo Man U Anapaswa kushinda mechi in mechi out, ili aweze kuikalia nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi.

Man U inahitaji kufikia confort walizonazo Liverpol na Man City kwa pamoja, kwamba hata wakifungwa next mechi watakuwa ama nafasi ya kwanza au pili.

Au confort waliyonayo spars, ambao hata wakifungwa mechi tatu mfululizo bado wataendelea kuwa nafasi ya tatu.

Ktk mechi hii possibility ya man u kushuka mpaka nafasi ya sita kama akifungwa na liverpool ni kubwa sana, hata akidroo anaweza kushuka mpaka nafasi ya sita pia, hii sio situation nzuri, mechi hii ni must win.

Good Lucky Man U.
 
Matic kanunuliwa Kwa £35-40m akiwa na miaka 29 wakati wanamuuza waliona umri umeenda na Bakayoko angeziba nafasi yake now huwezi kumuondoa Kante Chelsea Kwa chini ya 80-100 .Depay,Basti, Zlatan,Di Maria, Sanchez,Pogba Woodward aliwasajili kirahisi sababu alijua watauza jezi kuongeza mapato

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa soko la sasa £100M ni hela ya kawaida. Labda Kante alete maringo. Sidhani kama kuna wachezaji wa kueleweka kwa bei ya £50M kushuka chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matic kanunuliwa Kwa £35-40m akiwa na miaka 29 wakati wanamuuza waliona umri umeenda na Bakayoko angeziba nafasi yake now huwezi kumuondoa Kante Chelsea Kwa chini ya 80-100 .Depay,Basti, Zlatan,Di Maria, Sanchez,Pogba Woodward aliwasajili kirahisi sababu alijua watauza jezi kuongeza mapato

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba niwaulize nyie wazoefu; hivi situation ya Sanchez inatofauti gani na Falcao kwa Man U? Na kama huyu Sanchez yeye binafsi anaamini bado ana potential kwa nini asiwape man u clear plan yake, ama lazima acheze kila mechi au la anaondoka, kwa nini anakosesha watu usingizi?
 
Cantona: “I don’t know the agreement he (Ole) has with the club, but for me as a fan, because now I am a United fan, it’s a great feeling to feel the soul of the club, finally. We lost that since Ferguson retired. And now, it’s a great feeling.” #mufc [Paddy Power]
 
Back
Top Bottom