Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pale Darajani, leo hii
manchesterunited___BuCG8YtAHiz___.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye umri nimechanganya kidogo, nimekubali kusahihishwa

Lakini kuhusu yeye kutoitwa National Team sababu ya Messi hiyo ni theory inayojaribu kuelezea kwanini anaachwa, na theory sio reality

Ukweli ni kwamba kocha anaona Aguero, Higuan, Dyabala, Messi & co. kuwa mbele yake kiuwezo

Icard hawezi kuwa upgrade ya United foward line.

Ukiangalia hata stats za magoli, Mauro ana goli 9 msimu huu, Rash ana 9, Martial nadhani ana 9 pia. Lukaku ana goli 8, japo yeye amefunga goli kila baada ya dakika 178 wakati Mauro yeye amefunga goli kila baada ya dakika 185

United hatakiwi kusajili average player kwa sasa. Anapaswa kusajili mchezaji atakayeleta tofauti kikosini

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema Icardi ni average player.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea XI: Arrizabalaga; Azpilicueta, Rüdiger, Luiz, Alonso; Jorginho, Kanté, Kovačić; Pedro, Hazard, Higuaín

Subs: Caballero, Christensen, Zappacosta, Barkley, Hudson-Odoi, Willian, Giroud.

Man Utd XI: Romero, Young (c), Lindelof, Smalling, Shaw, Herrera, Matic, Pogba, Mata, Lukaku, Rashford

Subs: De Gea, Young, Dalot, Fred, McTominay, Pereira, Alexis
 
Lets be honest united fans mauro icardi sio avarage player nmeangalia sana game za inter jamaa anajua haswa kujiposition utaweza hisi anafunga magoli rahisi ila ni kutoka na ability yake ya kujiposition yaan kujiweka mahali husika muda sahihi kwa wasiojua kiingereza ni update vision ya chicharito hernandez so to me he is a good striker to united
 
Javier Hernandez "Chicharito"..ashawafunga sana hawa chelsea..alikuwa anajua sana kujiposition
 
Kingine...yule jamaa ana bahati c mchezo, nacheki sana game za inter 7bu ya yule Icard sema saiv kama ana kamgomo fulan hiv

Back
Top Bottom