mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,698
- 9,051
Nafasi 2 goli 2 hii ndo football inapaswa kuwa hivi tusirelax tutafute la 3 tumalize biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyo Martial aangalie mpira hapa, kila mchezaji anapambana kivyake, Lukaku anasumbuka kule Mata anazunguka kote Rashford yuko moto...Yeye alizoea kukaa pale mbele kushoto anasubiria mipira!!!! na asipone kabisa.Nafasi 2 goli 2 hii ndo football inapaswa kuwa hivi tusirelax tutafute la 3 tumalize biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu, mwenye link afanya first aid.
Link zangu zote zimebuma aisee. Msaada tafadhali
Hata mi namuunga mkono mechi kubwa hii,Kocha nilisikia alisema atawapa chansi naona kabadili gia angani
Msubiri 24 feb
Van kitu ingine kabisaNdio maana hawa madogo akina rashford bado saaaaana pale mbele yaan baaaado sana kufika level hata za akina vaneestroy yaan nikiwachek wanavoruka ruka mbele pale hua napata hasira saaana sijui hua hawachek zile clip za akina rud yaan inaboa madogo hao sio carible ya man u waende kwa mkopo somewhere like wolves wakapambane namba na akina jimenez kule wajue thaman ya kua united striker sijui hua hawaangalii hata clip za mtu mweus luis saha mamaeeee
Aingie TominayMmh! Hapa kama Matic akiendelea naiona kadi nyekundu nadhan bench letu la ufundi kuna haja ya kuangalia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app

SureWakuu mnamuona Matic....kocha ana mawazo na mipango kam mm...Asile tuu Red