one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,310
hakuna ulazima wa mtu kuangalia EPL kama anaona league mbovu ziko Ligue 1, La liga mpaka Bundesliga sisi EPL ni league kivyake na CL ni mashindano mengine. Leo PSG akichukuwa ubingwa CL haitafanya France league kuwa bora ila team boraMkuu mbona unajisahaulisha makusudi!!
Mechi ya kwanza mlishinda 3-2 mechi ya marudiano mlifungwa 2-1, aggregate 4-4 kama ingekua mtoano ungetoka.
Hata tukiongea maneno yakaisha haiondoi ukweli kuwa EPL ni over rated wachezaji wengi ni below average.
Sent using Jamii Forums mobile app
