Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

leo nimeona upande wa pila wa Solskjaer ngoja tuone second leg nijiaminishe zaidi

by the way tumefungwa kwa uwezo na sio sababu ya Lingard na Martial Walitoka kwa majeruhi hiyo sababu walicheza kwa dk 45 walikuwa wakirukaruka Martial sidhani hata kama alifikisha pasi 10
 
LVG &MOU walitakiwa kufunguliwa mashitaka.

Mata& Sanchez ni toothless dogs, hakuna kumuongezea mkataba Mata. Na nimethibitisha arsenal ndie alifanikiwa kwenye ile swap deal ya Sanchez.

PSG walituzidi kila kitu, kiufupi walikuwa wanatufundisha mpira.

Refa nae sio tuu angempa yule kimpenge red card akamuacha hadi akafunga goli.

Hadi sasa sina neno juu ya OLE, ngoja tumuone kwe mechi hizi mbili atakujaje?




Sent using simu mbovu
 
At least tumefugwa na good team,
What important now is how we react,
Na ninapenda jinsi wapinzani wetu wanavyotuzomea

Sent using simu mbovu
 
Poleni Akina Ole, Mmefungwa na timu B ya PSG kwenu Old Trafford bila Cavani na Neymar
 
Back
Top Bottom