Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Haya kaka tusije tukakimbiana tarehe 18,ila ndugu zangu wa Man yaani leo mmpewa bonge la shule na PSG kuhusu huyo kocha wenu Mmasai.FA hawapo pia hujui anakutana na nani?
Iyo top four labda aunde ya kwake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel pogba alibadilika maana mpka alianza na kucheza marafu ya hovyo hovyo na kuishia kuzawadiwa ile kadi ya mwaliko, uyo martial naye karuka ruka tu kaishia kupata majeruhi, Sanchezo ndo kabisaaaa hamna kitu ..uyo Rashid naye hivi viushindi ushind vya kuunga unga vya EPL vimempa kichwa...angalia kitu anafanya.Man u tumepwaya sana nadhani ni kwa sababu ya uchovu.
Kipindi cha pili inabidi pogba martial na rashford wabadilike ashley young atulie asije tucost na so fat naona luke shaw na herera ndo pekee wamecheza vyema
Tusipobadilika tutafungwa kipindi cha pili
Na kwa mpira huu liverpool watatufunga tu
All in all GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Msimu wa 2007/2008 nampiga city 6-0Zile sita vp mkuu
Sent using simu mbovu
Karibu sana KiongozMsimu wa 2007/2008 nampiga city 6-0
Hivyo juzi ni kama karudisha tu.
Hata hivyo mna gemu naye final Carabao ntamla za kutosha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Top 4..ww sahau....Man city..liver..tot. man u.wengine Europa inawahusuFA hawapo pia hujui anakutana na nani?
Iyo top four labda aunde ya kwake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwa mkweli huyo city humuwez, ww msubir man u next week umuweke hata 3-0
dah leo ndo nimeamini kweli PAKA ana ROHO SABA ujakoma tu
Sasa hivi ukienda kwa fundi wa kitanda unamwambia akuchongee kitanda cha Simba kwa Chelsea hahahahahahaha.Hata simba haikufungwa sita bila uarabuni. Nyie itakua viwete si bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo top 4 yako ww ,ila ww top 4 huingii, ndio kwanza vichapo vimeanzaTop 4..ww sahau....Man city..liver..tot. man u.wengine Europa inawahusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha huyu hata hatuziki na jeneza, huyu tunafukia tu ..chimba shimo refu shimo la roho mbaya Fut 16 ili tumsahau kabisaaa ....hahahaha GGMUWalikuwa wana harisha kwenye uzi wetu Fundi leta jeneza na misumari 2 Huyu kaisha kata roho
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hizi Man u napiga kama leo zilivyopigwa kitoto toto.Mkuu kuwa mkweli huyo city humuwez, ww msubir man u next week umuweke hata 3-0
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukadhani utashinda tena kizembe zembe tu. Final sikuachi mze bababdah leo ndo nimeamini kweli PAKA ana ROHO SABA ujakoma tu
cityzen chairman am here