Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya kaka hatimaye turubai limefungwa,shughuli imeisha mmebakiwa FA na kupigania top 4.
Ni kweli kabisa. Yani hapa ni hakuna namna tumeshapapaswa nyumbani. Et least ingekua 1-2 ila 0-2 ni tiketi ya asante kwa kushiriki, kwa maana sidhani kama tutashinda 3-0 ufaransa.

Tujipange tu na FA pamoja na ligi kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu CL tumeshaonfoka OGS ajipange na league na FA
Kwa upande wangu kutolewa UEFA poa tuu, ili tupambane na top four, maana hatuna kikosi cha kushiriki michuano yote hiyo.

Sent using simu mbovu
 
Back
Top Bottom