Iyo Namba uliyopo kwa sasa ni ya watu..Hamkutoka mahali popote?
Ulitoka namba 4 mpaka 6, na bado unachukulia poa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee baba fanyeni kweli kama Man u msituangushee....We chalii mzee wa kujiteka![]()
24/2 kesho kutwa hapa
Mbappe soon tu anaweza akatua apo Stamford ..lolote laweza kutokeaa..Omba uridishwe kwenye reli na Higuan mkuu, kwani mna unasaba wowote na Mbape
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanchez mwili wake umegoma kabisa huyu awe anaingia kama sub tu dak za 80 hukoUnajua sijawahi kuelewa ni nini kimempata sanchez...hana mchango wowote wa maana kwenye timu..hili dili tulipoteza,tutafute tu replacement za maana..
United Fan
Mkuu una ndoto za mchana kweli, Mbape aende Chelsea, wakati akina Hazard wanaikimbia timu ndogo hiyoMbappe soon tu anaweza akatua apo Stamford ..lolote laweza kutokeaa..
Acha tufurahi kwanza kwa hisani yake..
GGMU..
Sent using Jamii Forums mobile app
mkipigwa Uefa kama hizi nyumbu mtatisha sanaaaaaa..24/2 kesho kutwa hapa
Hahahaha wewe kunifunga mimi labda Mou arudi..lakini uyo Ole atakuwa na kibarua kigumu sana..Mkuu una ndoto za mchana kweli, Mbape aende Chelsea, wakati akina Hazard wanaikimbia timu ndogo hiyo
Ninakubaliana na wewe, huu ndio muda wako wa kufurahi maana kuanzia tarehe 18 mpaka February inaisha itakuwa ni kilio tu kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Morinho anayewashindwa Wolves au West Ham?Sio overated, wewe ndio umekosa something hapa. PSG ni timu kubwa hata kama ingekuwa inacheza EPL. Tofauti ya EPL na Ligue one ni kwamba Ligue one ina PSG tu wakati EPL in THE BIG 6, The big six kwa maana ya kiwango cha mpira na utajiri.
Turudi kwa MU, angekuwa MOU yupo angekuwa na plan B, kwa Ole Gunar sidhani kama ana plan B au ana uwezo wa kuwa tactical kwenye mazingira kama haya Zaidi ya kuwategemea Pogba (ambaye hatakuwepo) na Rashford.
Jana nimewaza ni bora hata kwenda kumchukua tahit chong kule chini tujue tunakuza kipaji hata kukokota hawezi hiu buashara ilikuwa hovyo sana ujue mourinho alikuwa anablok sajili za pep kama ilivyo kwa fredUnajua sijawahi kuelewa ni nini kimempata sanchez...hana mchango wowote wa maana kwenye timu..hili dili tulipoteza,tutafute tu replacement za maana..
United Fan
Bei yake si gharama nzima ya club cha chelsea na pesa za mwenyetimu ukijumlisha ina maana kiuzwe chelsea anunuliwe mbapeMbappe soon tu anaweza akatua apo Stamford ..lolote laweza kutokeaa..
Acha tufurahi kwanza kwa hisani yake..
GGMU..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana baada ya kutoka lingard nilitegemea kumuona lukaku akiingia sio mata kwa gem ya jana kwa upande wangu naona kocha alichemka hapaDisappointing UCL night
Kama OGS alivyosema, game ya jana ni REALITY CHECK. Imetupa fursa ya kujua timu yetu kiuwezo ipo wapi tunapokutana na wakubwa wenzetu.
Kumfunga Arsenal au Chelsea kunatupotosha kuufahamu uwezo wetu halisi
Hizi mechi pia ni reality check kwa OGS, kuona kama kocha anaweza kutufikisha wapi
Ukweli ni kwamba Ed alipoamua kutosajili January nilijua kuwa kwa mwaka huu hatuna mpango wa kufika mbali kwenye hii michuano ya UCL
Alexis anazidi ku prove kwamba yupo kwenye wrong club au United ilisajili wrong player. Jambo chungu kuhusu ndoa ya United na Alexis ni kwamba ni ngumu sana kutenganishwa. Ni timu gani inayoweza kumsajili Sanchezi na kumlipa £475K kwa wiki? TUENDELEE KUVUMILIANA SISI NA ALEXIS WETU.
Back to the core. Jose had a point, mashabiki pia tumekuwa sahihi, we have to spend on players. We have to remove passengers players.
Mechi ya jana Wachezaji waliofanya jambo/mambo linalokumbukika
Matic (Outstanding)
Herera (Average)
Pogba (Good)
Lingard (Good)
Degea (Good)
Waliokuwa na bad game Rash na Martial,
Bado naamini Lukaku ni muhimu kwenye timu yetu, kumuamini Rash kuongoza timu ni too risk
Kuelekea game ijayo (second leg)
Kuwa nyuma kwa goli 2 ugenini kumetuweka pagumu mno
Pogba kutocheza, haitatusaidia kabisa
But in champion League anything can happen
When its Manchester United, anything can happen
Coments za wasiojua mpira
Hawaelewi kuwa mpira ni dynamic sana. Wanasema angekuwepo Neymar au Cavani mambo kwa United yangekuwa magumu sana
U never know. Mfano jana PSG wamecheza direct football sana, na mpira wa direct ndio unamuwezesha Mbape ku shine.
Pengine. Narudia tena, PENGINE angekuwepo Neymar na mbwembwe zake angechelewesha mashambulizi na matokeo yasingekuwa vile.
Kwa sasa inatosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanayzer ,labda unazizungumzia paundi millioni 370 za mugabe na mtoaji ni muarabu mwenye dhumuni halisi la kujenga timu ya ushindani kwa muda mfupi, fikiria kama chini ya utawala wa jose mourinho na louis van gaal matumizi yetu kwa miaka 3 ni wastani wa paundi millioni 300 kwa kila mmoja hivi unadhani itawezekana kwa matajiri wale kutoa hela hiyo kwa msimu mmoja?Naiona Manchester bora ndani ya misimu miwili ijayo.... Naimani wote tumeumia na kufungwa ila ni moja ya matokeo ya soka.... tutafute director mzuri kwanza, tuuze Sanchez, Mata, Valencia, darmian tupate at least paund mil 70 Ed aongezee hapo paundi mil 300 naimani kwa paundi ml 370 mwakani tunakuwa contenders
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbali, sevilla ile pale mou alipigwa OT hapohapo.
Tatizo kubwa ninaloliona team inasajili wachezaji bila kuangalia kama wanafita kwenye timu. Ili mradi mchezaji ana Jina basi wanachukua.hii ni hatari.Tanayzer ,labda unazizungumzia paundi millioni 370 za mugabe na mtoaji ni muarabu mwenye dhumuni halisi la kujenga timu ya ushindani kwa muda mfupi, fikiria kama chini ya utawala wa jose mourinho na louis van gaal matumizi yetu kwa miaka 3 ni wastani wa paundi millioni 300 kwa kila mmoja hivi unadhani itawezekana kwa matajiri wale kutoa hela hiyo kwa msimu mmoja?
tusubiri tuone kwa atakayebahatika kuwa hai.
ishu nyengine tatizo si matumizi makubwa bali ni kupata wachezaji ambao watatutoa hapa tulipokwama na kutusogeza mbele kwa msimu mmoja tu pindi watakaposajiliwa, mbona timu kama napoli, tottenham wametumia hela ya kawaida na wamefanikiwa kupata wachezaji wanaoendana na soka la karne hii?
tumelipa paundi millioni 50 kwa fred ametupeleka wapi?
tumefanya swap deal kwa alex sanchez ametupeleka wapi?
pia timu yetu tuna ukosefu wa football intelligence players na ndipo tatizo jengine linapoanzia, ukimuondoa paul pogba, ander herrera na nemanja matic sioni mchezaji mwengine mwenye jicho la tatu la mpira, timu kama manchester city kila msimu wanawaongezea wachezaji hawa lakini sisi tumekuwa kimya na nashindwa kuelewa kwa nini tumekuwa wapofu kwenye soko la usajili.
Leo hii mpira akiumiliki ashley young, lingard, rashford na wengineo kwa kiasi kikubwa sana unajua tukio gani anakwenda kulifanya tofauti na wachezaji kama david silva, kelvin de bruyne, silva, sane, aguero, gundogan n.ka
Mourinho aliwasajili Fred na Sanchez ili kuibania Man City,kumbuka Pep alikua anataka kumsajili Fred ili aje kumpunguzia majukumu Fernandinho na Sanchez alikua asajiliwe ili kuziba pengo la Sane alipopata majeruhi..!Unajua sijawahi kuelewa ni nini kimempata sanchez...hana mchango wowote wa maana kwenye timu..hili dili tulipoteza,tutafute tu replacement za maana..
United Fan