mr94
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 286
- 309
Na kweli iliisha mapemaGemu ya kesho tuna nafas ya kuimaliza mapema kabisa pale OT ....tukienda paris watakua na cavan na watacharuka sana hawa jamaa
Injiniaa. Ngapi ukoooMechi ya kesho kama naona Rashford atakavyomchana mbavu Buffon maana dogo hana heshima kwa wakubwa hata kidogo
Aibu naona mimiNasemajee..yani hawa jamaa wakikaa vibaya tutapiga tano..maana tunajua wamepania tukirudi kwao wapindue matokeo..
Pogba hana rough kbsaVerrati lazima atakula yellow tu,ana rough za kijinga sana yule dogo!
Same old ManchesterNo creativity kabisa yaani kiungo kimekufa kabisa.
This is ucl... Ligi ya wachachePoleni sana majirani,ndio mpira ulivyo,sometimes tegemea matokeo usiyoyatarajia..!
Wachezaji walioiua kabisa Man Utd jana ni Marquinhos,Veratti na Mbappe..!
Sikua najua kama huyu Marquinhos anaweza kuwa kiungo mkabaji wa kutisha namna hii,amemfanya Pogba kuwa mchezaji wa kawaida kabisa usiku wa kuamkia jumatano..!
Huyu Mbappe huyu,hata sielewi niseme nini juu yake,nadhani waliokuwa Old Trafford watakua na maneno sahihi kuhusu huyu bwana mdogo,lakini nafikiri kuna "uchawi" anavaa miguuni,pace aliyokuwa nayo sio ya kawaida..!
Veratti,haka Kaitaliano ni kashenzi sana,kaliifanya Old Trafford kuwa uwanja wake wa nyumbani..!
Game ya marudiano mtakuwa bila Pogba uwanjani,mmmmh wish you all the best majirani..!
Ooh,nimesahau kumuongelea Sanchez, lakini haina haja..!
Injinia tape haisomi kabisa



Dogo anatereza km kobokoUnited hakuna anaeweza kumkaba mbappe...dogo ana spid sana huyu...ni kiberenge huyu dogo
Media zimefanyaje? Kwani matokeo hawapati?Nilisema mm timu hii iko over hyped sana na media ya england ila kiukweli hakuna kitu
Liverpool nao watatufunga tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio ujuwe ubora wa Liver dhidi ya Man u, wale tuliwapiga 3 full squad na tuliwakimbiza katika moja ya mechi bora CL mwaka huu, poleni watani ila ni ukweli tu wachezaji wengi sio wazuri hata EPL tu mko nyuma sana ya top 6Poleni wapenzi wa United, kiukweli EPL ipo over rated sana wachezaji wengi ni below average.
Sent using Jamii Forums mobile app
""Walisikika walevi fulani wakibadilishana mawazo""Hahaha...tuwaonee huruma kidogo jaman..wabaki na mbappe tu hata tukifawafunga wapinzani wasije sema mmeifunga psg b



Wakuu hakuna taarifa za kuongezeka majeruhi wa PSG??
.
walijua wanacheza na fulham.. Mkuu kuna aliye kujibuhiv michango mnayoandka humu inafka old traffod?


![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
walijua wanacheza na fulham..
Story za walevi bwana