Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eti unataka kumuuza Lu-Cow-Ku
utamuuzia nani labda majimaji ya songea kwa mkopo
 
Hakuna watu wanaonifurahishaga kama hawa Manure. Yan wanaonaga wao ndio wana world class players. Wakiwa uwanja ni kama vile ni heaven kumbe kama banda la kuku tu wanajipigia watakavyo.

Watajifariji wapo FA na wanakuja darajani. Mi nawasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna watu wanaonifurajisha kama Chelsix

Hata wakipigwa 6 - 0 huwa wanaamini ilitokea bahati mbaya, ila uwezo wanao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunahitajika usajili wa kueleweka. Lukaku awe wakwanza kuuzwa
Naiona Manchester bora ndani ya misimu miwili ijayo.... Naimani wote tumeumia na kufungwa ila ni moja ya matokeo ya soka.... tutafute director mzuri kwanza, tuuze Sanchez, Mata, Valencia, darmian tupate at least paund mil 70 Ed aongezee hapo paundi mil 300 naimani kwa paundi ml 370 mwakani tunakuwa contenders

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona unajisahaulisha makusudi!!
Mechi ya kwanza mlishinda 3-2 mechi ya marudiano mlifungwa 2-1, aggregate 4-4 kama ingekua mtoano ungetoka.

Hata tukiongea maneno yakaisha haiondoi ukweli kuwa EPL ni over rated wachezaji wengi ni below average.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio overated, wewe ndio umekosa something hapa. PSG ni timu kubwa hata kama ingekuwa inacheza EPL. Tofauti ya EPL na Ligue one ni kwamba Ligue one ina PSG tu wakati EPL in THE BIG 6, The big six kwa maana ya kiwango cha mpira na utajiri.
Turudi kwa MU, angekuwa MOU yupo angekuwa na plan B, kwa Ole Gunar sidhani kama ana plan B au ana uwezo wa kuwa tactical kwenye mazingira kama haya Zaidi ya kuwategemea Pogba (ambaye hatakuwepo) na Rashford.
 
Mikakati yako tutaona majibu yake tarehe 18

Hii ya jana haikuhusu mkuu

By the way tunashukuru u mzima maana ile nusu dazani halafu ukapotea, ilitustua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha unafungwa na timu ambayo haijakamilika wakati wewe umekamilika kila kitu..

Wewe huna mpira wa kuifunga Chelsea kama PSG umemshindwa.

Nyumbani anakutandika mbili nunge..

Man city dawa yao wataipata tarehe 25..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Disappointing UCL night

Kama OGS alivyosema, game ya jana ni REALITY CHECK. Imetupa fursa ya kujua timu yetu kiuwezo ipo wapi tunapokutana na wakubwa wenzetu.

Kumfunga Arsenal au Chelsea kunatupotosha kuufahamu uwezo wetu halisi

Hizi mechi pia ni reality check kwa OGS, kuona kama kocha anaweza kutufikisha wapi

Ukweli ni kwamba Ed alipoamua kutosajili January nilijua kuwa kwa mwaka huu hatuna mpango wa kufika mbali kwenye hii michuano ya UCL

Alexis anazidi ku prove kwamba yupo kwenye wrong club au United ilisajili wrong player. Jambo chungu kuhusu ndoa ya United na Alexis ni kwamba ni ngumu sana kutenganishwa. Ni timu gani inayoweza kumsajili Sanchezi na kumlipa £475K kwa wiki? TUENDELEE KUVUMILIANA SISI NA ALEXIS WETU.

Back to the core. Jose had a point, mashabiki pia tumekuwa sahihi, we have to spend on players. We have to remove passengers players.

Mechi ya jana Wachezaji waliofanya jambo/mambo linalokumbukika

Matic (Outstanding)
Herera (Average)
Pogba (Good)
Lingard (Good)
Degea (Good)

Waliokuwa na bad game Rash na Martial,

Bado naamini Lukaku ni muhimu kwenye timu yetu, kumuamini Rash kuongoza timu ni too risk

Kuelekea game ijayo (second leg)

Kuwa nyuma kwa goli 2 ugenini kumetuweka pagumu mno

Pogba kutocheza, haitatusaidia kabisa

But in champion League anything can happen

When its Manchester United, anything can happen

Coments za wasiojua mpira

Hawaelewi kuwa mpira ni dynamic sana. Wanasema angekuwepo Neymar au Cavani mambo kwa United yangekuwa magumu sana

U never know. Mfano jana PSG wamecheza direct football sana, na mpira wa direct ndio unamuwezesha Mbape ku shine.

Pengine. Narudia tena, PENGINE angekuwepo Neymar na mbwembwe zake angechelewesha mashambulizi na matokeo yasingekuwa vile.

Kwa sasa inatosha





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hata Martial awe kwenye kiwango kibovu ni bora akaanza anaweza kufanya kitu kuliko Sanchez jamaa ni ameisha tuache utani. Na timu sio mbaya kihivyo jamaa ni wazoefu first half game ilikua poa tu second ndo tulipotea kidogo.
Kuuza watu zaidi ya sita pale haikwepeki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sijawahi kuelewa ni nini kimempata sanchez...hana mchango wowote wa maana kwenye timu..hili dili tulipoteza,tutafute tu replacement za maana..

United Fan
 
Back
Top Bottom