Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio ujuwe ubora wa Liver dhidi ya Man u, wale tuliwapiga 3 full squad na tuliwakimbiza katika moja ya mechi bora CL mwaka huu, poleni watani ila ni ukweli tu wachezaji wengi sio wazuri hata EPL tu mko nyuma sana ya top 6
Hauwezi ku-analyse mpira namna hiyo. Mpira anatathiminiwa kwa mechi iliyochezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is unproffessional
IMG_20190213_073417_257.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana majirani,ndio mpira ulivyo,sometimes tegemea matokeo usiyoyatarajia..!
Wachezaji walioiua kabisa Man Utd jana ni Marquinhos,Veratti na Mbappe..!
Sikua najua kama huyu Marquinhos anaweza kuwa kiungo mkabaji wa kutisha namna hii,amemfanya Pogba kuwa mchezaji wa kawaida kabisa usiku wa kuamkia jumatano..!
Huyu Mbappe huyu,hata sielewi niseme nini juu yake,nadhani waliokuwa Old Trafford watakua na maneno sahihi kuhusu huyu bwana mdogo,lakini nafikiri kuna "uchawi" anavaa miguuni,pace aliyokuwa nayo sio ya kawaida..!
Veratti,haka Kaitaliano ni kashenzi sana,kaliifanya Old Trafford kuwa uwanja wake wa nyumbani..!
Game ya marudiano mtakuwa bila Pogba uwanjani,mmmmh wish you all the best majirani..!
Ooh,nimesahau kumuongelea Sanchez, lakini haina haja..!
Na PSG possibly Cavani na Neymar ndani
 
Ndio ujuwe ubora wa Liver dhidi ya Man u, wale tuliwapiga 3 full squad na tuliwakimbiza katika moja ya mechi bora CL mwaka huu, poleni watani ila ni ukweli tu wachezaji wengi sio wazuri hata EPL tu mko nyuma sana ya top 6
Mkuu mbona unajisahaulisha makusudi!!
Mechi ya kwanza mlishinda 3-2 mechi ya marudiano mlifungwa 2-1, aggregate 4-4 kama ingekua mtoano ungetoka.

Hata tukiongea maneno yakaisha haiondoi ukweli kuwa EPL ni over rated wachezaji wengi ni below average.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
manure!!!! baada ya kushinda mechi za mchangani wakawa na matumaini pia na ligi kubwa, aya next match neymer, Cavan ndani sijui mtaoga ngapi
 
Despite of having a regular win at EPL, we still need to improve our squad. Some players should be offloaded and a powerful addition is important.
Mata, Sanchez, Lukaku, Young, Jones, Valencia have to leave and bring other world class players. Our defence is totally a mess, midfield got a lesson.
Ed should drop atleast £300M cheque or more for summer signings. We should have a squad with quality and depth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom