OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wewe umesahau msimu ulopita nilikupiga game mbili muhimu EPL na FA; msimu wa kwanza wa Conte nilikupiga game mbili muhimu EPL na FA.Imebust mkuu maana zile dakika 6 zimeokoa watu
Sasa msimu huu umepata draw unachanganyikiwa kabisa. Unajiaminisha kabisa kwàmba una timu