Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna yule shabiki mmoja humu nilimwambia hapo Chelsea ukimtia Hazard mfukoni hamna wa kusumbu yupo wapi?

Wanashangilia sare leo pamoja na udhaifu wa timu yetu.
Wabishi sana hawa tunawaambia timu yao ya mtu mmoja haina makali
 
Magoli yote uzembe wa bek kama lile ya rudiga tumewapa tu nafikir ed angezingatia matakwa ya kocha tungekuwa mbali sana timu yenyewe ipo kwao hamma hata goli za mipango
Hii timu ukiacha kocha tatizo bado ni kubwa.
 
Nilikuwa na hasira sana, nivile tu tumecheza vizuri mwishoni.

Dakika sita za mwisho zimeharibu game.
 
Hivi mnajua kipigo kitakatifu kinaitwa KATA FUNUA yan maana yake ni kwamba naku KATA mtama unaanguka chini then naku FUNUA nakuuliza umeukubali mziki then wewe unajibu naukubali BLAZA huku kamasi zikikutoka mapuani . Hiyo ndio KATA-FUNUA.

Kaa mbali na Sarriball
Sariball katokea tunduni kashangilia kama kashinda anakuja kukazwa nyumbani sasa
 
Chelsea wananikera wanavyomdharau mtu aliyewaweka kwny raman
Timu yenyewe ya mwaka 2004 unategemea nini mkuu? Wengi walihamia kule mamluk ni sawa na sasa tumzomee moyes au van gal kitu ambacho hakijawah kutokea moyes kaja na sunderland na west ham anapokelewa vizur tu ujue tofaut ya mkubwa na mtoto
 
We're different from them..wanafanya ujinga mkuu
 
Back
Top Bottom