Ego, arrogant and successHuwa sielewi kwanini watu huku hawamtaki mreno
Kwangu atabaki kuwa kocha bora na sahihi kwa timu yetu.
Heheee.. Sasa hivi man ujasiri wa kujibu baada ya kuforce drawSariball katokea tunduni kashangilia kama kashinda anakuja kukazwa nyumbani sasa
Nyinyi mnawekwa mjini na nini.?Yan chelsea ni vyombo vya habar ndy vinawaweka mjini na hazard.
huku tunafikiria kumfungulia mashtaka refaHali ya hewa ni safi mkuu vipi huko Baada ya umakini kuwa zero Mpaka game ikaisha 2-2
Hata dunia itakushangaa mimi ndo nililazikisha suluhu????? Huna timu weweHeheee.. Sasa hivi man ujasiri wa kujibu baada ya kuforce draw
Ni kweli matokeo ni SULUHU?Hii mechi ni suluhu lakini naona kama tumefungwa.
Chelsea na Sarri wanaona kama wameshinda.
Suluhu ni draw ya kutokufungana yaani 0-0...so hapo amekosea kidogo...Ni kweli matokeo ni SULUHU?
Pamoja sana mkuu sisi ni timu MouWe upo kama mm
Ni kweli matokeo ni SULUHU?