Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

we are still united no matter what.
kwa game ya leo mou kanifurahisha maana hatukukaa chini kwa kipindi chote na wachezaji walikokota mipira kuivusha katikati na sio kubutua. washambuliaji wetu wametumia nafasi chache kufunga bao mbili,na mata bado anathibitisha yeye ndio mtu sahihi kuwepo namba 10 na wala si lingard.
Gracias united.
 
Screenshot_2018-10-20 (9) Twitter.png
 
we are still united no matter what.
kwa game ya leo mou kanifurahisha maana hatukukaa chini kwa kipindi chote na wachezaji walikokota mipira kuivusha katikati na sio kubutua. washambuliaji wetu wametumia nafasi chache kufunga bao mbili,na mata bado anathibitisha yeye ndio mtu sahihi kuwepo namba 10 na wala si lingard.
Gracias united.
Kabsa mkuuu
 
Roho imeniuma sana kumtoa martial akipata kocha wa kumtumia huyu kijana ni shida pamoja na kwamba nampenda na kumsapot mourinho kwa hili la martial namdharau sana
Huyu akipatwa na kocha kama Unai ndio mtamuona makali yake.
 
Alipoanza kumtoa mata nikajua tu kuna tatizo toa lukaku ingiza sanchez rashford aingie katakati takwimu hazimbebi lukaku darajani katoa mata anaanza kujaza viungo wakabaji sijui wa nini wakat wacheza kipind cha pili chelsea tulishawapoteza
Ila siyo mbaya nilichokiona beki zilijua ushindi Tayari
 
Back
Top Bottom