Ameanza mgomo.samahani wakuu,hivi hazard ametoka?
Kwaiyo Leo nani kafanya wajiamini Kama sio huyu huyu the special one.Si mnaona..! Wachezaji tunao..tatizo ni mtu wakuwafanya wajiamini ndo hatuna!!!
Aliumia nadhani akatokasamahani wakuu,hivi hazard ametoka?
Ndio maana pakawa na kocha mkuuMartial out Sanchez in. Hili lifanyike mapema sana. Tusisubiri hali iendelee kuwa mbaya.
mkuu hyo ndo falisafa ya mwalim teh teh teh teh.! poor man u
Mkiambiwa morinho sio kocha mnakataa..haya oneni ujinga tunaocheza..timu haina spirit kabisa!!
Kwa babu fergie tulikuwa tunapambana hatakama tunapoteza mechi..sasahivi timu imekaa kishogashoga..wanaogopaaa..wth!!
Kuna muda nashindwa hata nianzie wapi kumlaumu mou,hawa wachezaji ni wazembe kama ulivyosema hawana roho ya kupambana kabisa.
Timu ni mbovu kwelikweli.
Pass accuracy 91%, leo mnatafutana watu dk 3 nzima wanamiliki wao mpira , nyie hata pasi tano shida na hamna hata short on target.
Bado naendelea kusema
Pogba ndio tatizo pale United
Wakati wa matatizo msipende kulaumj na kutafuta mchawi, stay calm as long as you still have time!!
Leo kuna dalili za kushuka nafasi ya 13
Imebust mkuu maana zile dakika 6 zimeokoa watuHii game ikiisha hvhv itaboost sana confidence ya wachezaji wetu
Huu ni zaidi ya UCHAWI..Martial out Sanchez in. Hili lifanyike mapema sana. Tusisubiri hali iendelee kuwa mbaya.
Magoli yote uzembe wa bek kama lile ya rudiga tumewapa tu nafikir ed angezingatia matakwa ya kocha tungekuwa mbali sana timu yenyewe ipo kwao hamma hata goli za mipangoKuna muda nashindwa hata nianzie wapi kumlaumu mou,hawa wachezaji ni wazembe kama ulivyosema hawana roho ya kupambana kabisa.
Timu ni mbovu kwelikweli.
Chelsea katokea tundu la sindano bahat yake
Kivip mkuuWachezaji Leo wameiangusha Manchester United
Kweli takwimu hizi zinaonyesha nani kaponea tundu la sindanoChelsea katokea tundu la sindano bahat yake