Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mata akiwa anatoka nafasi yake aijaze Fred. Hawa vijana wapo sharp. Lukaku awe anafanyiwa sub au Rash acheze Centre Foward alafu mbawa moja acheze Perreira. Lukaku fomu imegoma japo mwili wake ni mtaji
Ipi hivi mkuu naona lukaku kuna mech anatakiwa kupumzishwa basi rashford atumbukie kama namba 9 ili kumpa nafasi sanchez au fred sioni kama sanchez anatakiwa kuanza bado kiwango chake kipo chini sana martiak kawa bora mno hadi mourunho kuna muda alimfuata na kuongea nae walifurahi sana naona martila nae karud kama shaw
 
Man united Mnachekesha sana
Kwa hiyo Baada ya kupata point 1 mlioipigania kwa UDI na uvumba ndio kumewapa sababu kuwa chelsea ni ya kawaida msimu huu
Lakini sishangai maana msimu ulianza huku top 4 zikitajwa kabisa na chelsea hata haikuwekwa kabisa ikionekana ni team isiyoweza kuingia hata top 4
Unasawazisha dakika ya 96 nani alipigania point moja?

Picha inajionesha yupi alishangilia point moja
FB_IMG_1540044026734.jpeg
 
Man united Mnachekesha sana
Kwa hiyo Baada ya kupata point 1 mlioipigania kwa UDI na uvumba ndio kumewapa sababu kuwa chelsea ni ya kawaida msimu huu
Lakini sishangai maana msimu ulianza huku top 4 zikitajwa kabisa na chelsea hata haikuwekwa kabisa ikionekana ni team isiyoweza kuingia hata top 4
Nyie ndo mlioipigania hiyo point moja sio sisi..maana tulikuwa tunachukua point tatu..
 
Man united Mnachekesha sana
Kwa hiyo Baada ya kupata point 1 mlioipigania kwa UDI na uvumba ndio kumewapa sababu kuwa chelsea ni ya kawaida msimu huu
Lakini sishangai maana msimu ulianza huku top 4 zikitajwa kabisa na chelsea hata haikuwekwa kabisa ikionekana ni team isiyoweza kuingia hata top 4
Hapana nyie ndo mlijitamba sana kwamba mtatupiga kipigo cha mbwa mwizi,kwanza mlikuwa mnajivunia position mliyyopo na magoli mliyofunga huku sisi mkitudhihski kwamba ni watu wa Sare tu hatujapata ushindi wowote na mkasema ndo kuanzia mechi yenu na zijazo tutashuka nafasi mpka ya kumi naa!!
 
Chelsea walinaswa na shetani hata hawajaamini wanatafuta namna kujipooza

Pia nimependa sana kama timu inaweza kuongozwa kipind kimoja kisha tukarudi kukomboa goli na kutaka kushinda mech hii inatoa picha tunakuwa kuna mabadiliko huwa tunakuwa chini hadi goli mbili lakin kwa sisi mashetani wekundu mech inakuwa bado haijaisha tunaweza kufanya chochote imenikumbusha enzi za sir alex safi sna.
 
Man you ilikufa toka watu wawili waondoke. Wakwanza ni fergie. Alijua jinsi ya kumanage wachezaji hata waliokuwa na kiwango kidogo na kuwafanya wapeform.
Wa pili ni david gill, au director wa usajili.. huyu bwana ndie alikuwa akileta vipaji man u, huyu bwana ndio alimuona christian ronaldo na kumleta man u. Na vipaji vingine.

Hakuwahi kumuangusha fergie ktk usajili.

Man u ya sasa inakosa kocha, na nafasi ya mtu mwenye jicho la vipaji. kwa sasa yuko bwana mmoja anaitwa ed ambae ananunua magarasa ndio maana man u hai perform.

Kiufupi man u wameshindwa kupata mbadala wa hawa watu.
Mmefungwa mara ngapi hapo OT... timu yenu ilikufa tangu Web alipo staafu sasa hivi mmebaki mashabiki maandazi tu ndo mnaipaisha
 
Web alitupa champions league na world cup ngazi ya vilabu hahaha mbaazi zikikosa maua husingizia jua

England ni manchester united pekee katwaa kikombe cha dunia ngazi ya vilabu kama una timu kilaza hubebi siju hizo mech web alikuwepo?
 
Huna timu ya kutoa suluhu old traford ww level yako ni arsenal tu nae sijui kama utamuweza kwake kwako tu alitaka kukufumua toka mwanzo nilikwambia usiiamin timu yako haijafikia level ya soka la city na liverpoo ukishinda ni bahat tu
Hahahaha radika now days una andika andika hovyo.

Draw ya jana imekufanya umepagawa kabisa.

Basi sawa me nakubali Arsenal, Liverpool, na Man u watatupiga raundi ya pili.

Pia hongereni sana kwa ushindi wa jana.
 
Mmefungwa mara ngapi hapo OT... timu yenu ilikufa tangu Web alipo staafu sasa hivi mmebaki mashabiki maandazi tu ndo mnaipaisha
Hahahaha kweli mmewehuka.

Mngeshinda je?!

Hata hivyo huu ni ushindi kwenu.

Hongereni sana.
 
Web alitupa champions league na world cup ngazi ya vilabu hahaha mbaazi zikikosa maua husingizia jua

England ni manchester united pekee katwaa kikombe cha dunia ngazi ya vilabu kama una timu kilaza hubebi siju hizo mech web alikuwepo?
Umesahau kwamba Chelsea alifika fainali.
 
Hahahaha radika now days una andika andika hovyo.

Draw ya jana imekufanya umepagawa kabisa.

Basi sawa me nakubali Arsenal, Liverpool, na Man u watatupiga raundi ya pili.

Pia hongereni sana kwa ushindi wa jana.
Sisi watu wakubwa tumeumia kutoa droo na madogo angalia bench lenu mlivyopata point moja walivyowehuka

Mlikabwa koo vibaya sana tulikwambia mnaweza kuongoza ila cha pili tutawazingua ukajibu jeuri nyie sio newcastle naona mshakuwa newcastle sasa.
 
Sasa mlishindwaje kuzuia tukasawazisha?

Hivi mngeshinda ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom