radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Kabisa mkuu.Umakini ulikuwa mdogo kwenu kabla Refa hajapuliza filimbi
Kabisa mkuu.Umakini ulikuwa mdogo kwenu kabla Refa hajapuliza filimbi
Inaweza isiwe kama unavyowazaChelsea mkija OT kifo Tu
Kilio chetu ni beki tu tungekuwa mbali sana bodi imetuangusha pakubwa mno.Never underestimate Jose Mourinho
He still of the best manager
Kilio chetu ni beki tu tungekuwa mbali sana bodi imetuangusha pakubwa mno.
Naona bodi imegundua kosa lao mkuu kama goli la rudiga na bakley daaa hatuna 4 kabisa yaniUkiona magoli tunayofungwa utaelewa kocha alikuwa sahihi kuhitaji CB
Martial anatakiwa kuaminiwa na kupewa nafasi zaidi.Anthony martial kumuonesha sariball jinsi magoli yanavyofungwa kwa mguu
Goli la martial la pili wakuuu very classic yani foward mwenye akili ndo anavyofunga vile.
Kosa kumtoa aliwapa shida sana nilichogundua hadi sasa mata sio wa mchezo huyu ni key player wetuBaada ya kumuona Mata akianza nilijua mourinho anataka nini
Fact mkuuMartial anatakiwa kuaminiwa na kupewa nafasi zaidi.
Huwa sielewi kwanini watu huku hawamtaki mrenoNever underestimate Jose Mourinho
He still of the best manager
We upo kama mmHuwa sielewi kwanini watu huku hawamtaki mreno
Kwangu atabaki kuwa kocha bora na sahihi kwa timu yetu.
Spurs tumefungwa goli za beki,brighton,newcastle,west ham na chelsea vile vile yaniHuwa sielewi kwanini watu huku hawamtaki mreno
Kwangu atabaki kuwa kocha bora na sahihi kwa timu yetu.
Central back za man u hakuna kitu kabisa. Underpressure huwa wana crack. Angalia beki kama lindelof.. always lazima afanye uzembe timu ifungwe. Smalling nae co wa kuaminika. Usajili ujao cb zinahitajikaNaona bodi imegundua kosa lao mkuu kama goli la rudiga na bakley daaa hatuna 4 kabisa yani
Kosa kumtoa aliwapa shida sana nilichogundua hadi sasa mata sio wa mchezo huyu ni key player wetu