OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Ndo tulifika fainali klabu bingwa kwa vilabu.Ndo nini?
Enzi za Benitez.
Ndo tulifika fainali klabu bingwa kwa vilabu.Ndo nini?
Kama mzur si ungebebaNdo tulifika fainali klabu bingwa kwa vilabu.
Enzi za Benitez.
Kama mlimvamia mourinho kwa kusawazisha vipi mngeshinda nyie? Mara ooo mkipak bus mtakufa nyingi mara ooo sariball mtakoma sariball my foot watishieni cadif hukoSasa mlishindwaje kuzuia tukasawazisha?
Hivi mngeshinda ingekuwaje?
Magoli ya martial yamemvua Pichu lukaku....Anthony martial kumuonesha sariball jinsi magoli yanavyofungwa kwa mguu
Goli la martial la pili wakuuu very classic yani foward mwenye akili ndo anavyofunga vile.
Yaa ndio maana Pogba alimpayukia bekiNaona bodi imegundua kosa lao mkuu kama goli la rudiga na bakley daaa hatuna 4 kabisa yani
Mimi kama mmoja wa vijana wa Mouth out nimefurahishwa mno na kipindi cha pili, tumecheza vizuri sana...... sasa kilichobaki kupanda nafasi maana nimeona Ed hata tucheze vizuri ananuna means anamtafutia Mou sababu tu....tusipomaliza ligi kwenye top 5 basi naamini Ed atamtoa.... Ila big game amazing Playing
Tunahitaji pia Centre foward, Winger na namba 2. Lakini tuanze warau na beki wawili, wa kati na kulia. Ashley na Valencia kidogo umri unasogea.Sipendi tukose champion league mkuu..naona mouth out ifanye kazi... January anunuliwe tu beki wa Kati wa timu ambayo haishiriki champion league.....ili tuimarishe ulinzi.... Mouth awaache wachezaji wacheze wenyewe
Yaa ndio maana Pogba alimpayukia beki
Yaani mimi, huwa namfananisha LUKAKU na BASHITE. Hata achemke vipi, kwa MOURINHO huwa haoni wala hasikii. Mechi nyingi tu, huwa anacheza hovyo, cha ajabu hawezi kumtoa, hata kama zimebaki dk tano. Matokeo yake, timu inacheza kama vile wachezaji wapo pungufu!Magoli ya martial yamemvua Pichu lukaku....
Martial ndiyo striker pekee OT nafasi yalukaku ingemfaa Sana Sana dogo ama Msomali au Sanchez
Kuna mpuuzi mmoja leo kidogo mourinho amng'oe jino yale uwanjani...shenzi zake yule mpuuzi
Inamaana Monyo anampumulia LukaluYaani mimi, huwa namfananisha LUKAKU na BASHITE. Hata achemke vipi, kwa MOURINHO huwa haoni wala hasikii. Mechi nyingi tu, huwa anacheza hovyo, cha ajabu hawezi kumtoa, hata kama zimebaki dk tano. Matokeo yake, timu inacheza kama vile wachezaji wapo pungufu!
Tafuta hoja za maana.Mmefungwa mara ngapi hapo OT... timu yenu ilikufa tangu Web alipo staafu sasa hivi mmebaki mashabiki maandazi tu ndo mnaipaisha
Good, Cleaver answer, hawana maana Hawa ndio mashabiki Njaa....wanashindwaga hata kui value utd....man ni ya nane bado inauza inajaza uwanja, TV station zinauza hawaoni....ushabiki bwanaTafuta hoja za maana.
Wasting our time reading useless comments.
Chukueni na leo sasa kama mnaweza...😂😂😂... Nafasi zenu ni za saba huko, sasa hiv chamipions league mnaenda ku report mnarudiWeb alitupa champions league na world cup ngazi ya vilabu hahaha mbaazi zikikosa maua husingizia jua
England ni manchester united pekee katwaa kikombe cha dunia ngazi ya vilabu kama una timu kilaza hubebi siju hizo mech web alikuwepo?
Kweli mkuu lakin mimi nachukulia kama tabia za kawaida tu ambazo pia kuna binadamu wanazo na tunaishi nao poa tuEgo, arrogant and success
Ndio vinafanya anachukiwa
Wakat anamnunua pogba palikua hapatoshi humu, mara oooh the best in Epl mara ooh anakuja kuchukua mpaka Ballon d'o saiz amekua garasa tenaMan you ilikufa toka watu wawili waondoke. Wakwanza ni fergie. Alijua jinsi ya kumanage wachezaji hata waliokuwa na kiwango kidogo na kuwafanya wapeform.
Wa pili ni david gill, au director wa usajili.. huyu bwana ndie alikuwa akileta vipaji man u, huyu bwana ndio alimuona christian ronaldo na kumleta man u. Na vipaji vingine.
Hakuwahi kumuangusha fergie ktk usajili.
Man u ya sasa inakosa kocha, na nafasi ya mtu mwenye jicho la vipaji. kwa sasa yuko bwana mmoja anaitwa ed ambae ananunua magarasa ndio maana man u hai perform.
Kiufupi man u wameshindwa kupata mbadala wa hawa watu.
Unataka asifiwe kwa kufanya pumba uwanjani!?Leo Lukaku mnamwita garasa
Msimu jana alifunga game kadhaa mfululizo basi hapakutosha humu, leo kama gunia la mkaa