xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Bado upo we kibabu?Huyu Pogba alizani atawaogopesha Man City Kwa rangi za Nywele 😀😀😀
Bado upo we kibabu?Huyu Pogba alizani atawaogopesha Man City Kwa rangi za Nywele 😀😀😀
Wapi Pogba, wapi Alexis, wapi Lukaku? Pesa mingi imemwagwa kama ujenzi wa barabara Dar foleni ipo pale pale
Man u anabakwa gheto etihad
Hii timu maji kupwa maji kujaa
Dadeq...piga mbwa...
Mourinho fala sana kocha huyu.
Yani tunacheza kama sisi ndo mabingwa vile
Huyu Pogba alizani atawaogopesha Man City Kwa rangi za Nywele 😀😀😀
Sanchez kawa beki siku hizi...
hio ndo Mwanitesa utd
Smalling na young hamna kitu. Valencia anacheza kombelela tu ndani humu
hakuna cha cb....,timu yote hamna ki2....
Mwanitesa United Wanakeketwa bila ganzi Huko Etihad stadium
Sio hawamtaki..Sanchez ni mzigo mkubwa amecost timu nzima, winga ya kushoto imekufa kabisa.
Daah wabongo bana, yani tukifungwa tu mtasema yooote!!Nilitaka kushangaa Man City hawapo
1.deBruine
2.Aguero
3.Walker
Halafu watufunge???
Shabiki wa arsenal anaejitambua, sio wale wachambuzi wetu wa jumba la makumbusho anfield,Bado Utd wana nafasi kama wakifanya mabadiliko hii 2nd half,wakikaza kabla ya dakika 60 wakapata goli hakika mnaweza kufanya kitu.
Huyu asipokua makin msimu ujao anafungasha virago...
Niliongea humu ndani, mashabiki wa Manchester mnalalamika mnooo aisee,Miaka ya hivi karibuni United imekua ni underdog kwa city, sio kipindi cha mourinho tu, van gaal, moyes hata Ferguson mwenyewe huku mwishoni city alikua akimsumbua sana.
Mbinu za mourinho ni kukupa makombe kama unataka entertainment basi WWE is better for you. Mechi hata bado haijachezwa watu mshaanza kulalamika sababu ya walichofanya livapuli jana, what the fvck??????????
Mourinho hajawahi fungwa home and away na kocha mmoja and am sure haitatokea kwa msimu huu.
Natamani awe Pogba kwa namna alivyokuwa anawatunishia msuli vile.Amewaonesha derby inavyochezwa.Hivi Man of the match ni nani pogba au sanchez?
Pogba mzeeHivi Man of the match ni nani pogba au sanchez?
Natamani awe Pogba kwa namna alivyokuwa anawatunishia msuli vile.Amewaonesha derby inavyochezwa.Hivi Man of the match ni nani pogba au sanchez?
This is EPL...!Huyu asipokua makin msimu ujao anafungasha virago...
Ahsante kwa taarifa, basi tufanye ni 3-3, umefurahi ee?Penati na red kadi
![]()