RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,774
- 129,529
Man City 3Wakuu matokeo vipi uko.
Man Utd 2
Man City 3Wakuu matokeo vipi uko.
Sasa mbona naona man u wanashangilia?Man City 3
Man Utd 2
Ile mechi ya OT tulifungwa kizembe sanaWalituharibia ile rekodi, walikuwa wa pili.
Soma uelewe kilichoandikwa sio kutafsiri kwa uwezo wa kichwa chako. Nimesema msingekuwa hapo mlipo mwaka huu bila ya De Gea. Ni mwaka wake. Msimu mzima alikuwa mchezaji nyota wa Manchester United.De gea alifanya save mbili tu za wazi leo. Unataka kusemaje tena.
Yametimia kijana mwenzanguBado Utd wana nafasi kama wakifanya mabadiliko hii 2nd half,wakikaza kabla ya dakika 60 wakapata goli hakika mnaweza kufanya kitu.
nteWatani poleni sana
Wapi Pogba, wapi Alexis, wapi Lukaku? Pesa mingi imemwagwa kama ujenzi wa barabara Dar foleni ipo pale pale
Liver hapenyi kwa city subiri jnne.Mnastahili kwa kweli,mmecheza vyema sana kipindi cha pili mkichukua ufundi wa Klopp!!
Jumanne nampiga hapo hapo kwake UCL
Ni ya kweli hayo?Tangia Kibabu Gagula Ferguson kibwage manyanga Manyoo wamekuwa kama Stoke city. Hawajashinda kombe lolote la maana
Mkuu Ukishawachinja Najiandaa Na Chapati Kuja Kuwanywa Supu 😀😀😀
Huyu Pogba alizani atawaogopesha Man City Kwa rangi za Nywele 😀😀😀