Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,103
Cheki hapa ratiba iliyobaki kwa kila timu na wanavyotabiriwa namna watakavyomaliza msimu kwa pointi watakazovuna.
MAN UNITED
Msimamo: Nafasi ya Pili
Pointi : 65
Mechi: 30
Ratiba mechi zilizobaki
Man City v Man United
Man United v West Brom
Bournemouth v Man United
Man United v Arsenal
Brighton v Man United
Man United v Watford
West Ham v Man United
Hii ilikuwa kabla ya mechi ya jana Jumamosi huko Old Trafford, Manchester United ilipotarajia kumenyana na Swansea City. Ukiondoa mechi ya ugenini kwa Manchester City, ratiba ya Man United inaonekana kuwa nyepesi kwa kiasi fulani na kwamba kuna uhakika mkubwa wa kuendelea kuishikilia nafasi yao hiyo hadi mwisho wa msimu. Kwa mechi hizo za Man United, matarajio wanaweza kushinda si chini ya mechi saba na hivyo kuwa sawa. Kama mambo yatakwenda kama yalivyotarajiwa, Man United inaweza kumaliza ligi ikiwa na pointi 82.