Playing style yetu inatucost sana....wengine tunajaribugi kuongea humu ndani ila wengine huwa wanamtetea Mou.....Mungu tusaidie tutoke salama
Tatizo msimamizi wa mazoezi ila watu wana mtetea uwezi kuwa na wachezaji kama hao kisha wanashindwa kucheza angalia body language za wachezaji wanaonekana awapo tayari kucheza kama wamelazimishaWapi Pogba, wapi Alexis, wapi Lukaku? Pesa mingi imemwagwa kama ujenzi wa barabara Dar foleni ipo pale pale
Huoni tunavyochezaga ama? Timu inacheza cheza tu. Selection ya wachezaji itamcost JM.Playing style ipi hiyo unayoongelea?
hakuna cha cb....,timu yote hamna ki2....Afadhali nimtafute "Tashna" tuangalie weekend inakwendaje
Duh mabeki wa kati wa UTD leo mhh
Nawaza pengine hawa wachezaji hawamtaki huyu kocha.Pundit Savage anasema performance ya leo ya Utd ni aibu (Kweli ninamuunga mkono)
Kabisa maana wanaruka ruka tuNawaza pengine hawa wachezaji hawamtaki huyu kocha.
Nawaza pengine hawa wachezaji hawamtaki huyu kocha.
Nawaza pengine hawa wachezaji hawamtaki huyu kocha.
Sio hawamtaki..Sanchez ni mzigo mkubwa amecost timu nzima, winga ya kushoto imekufa kabisa.Nawaza pengine hawa wachezaji hawamtaki huyu kocha.