Shabiki wa arsenal anaejitambua, sio wale wachambuzi wetu wa jumba la makumbusho anfield,
Kuna ile timu ya makumbusho, walimfunga gurdiola basi wameshatangaza tayari kuchukua uefa
Kwa ule mwendo anaokuja nao burnley nafas ya 7 inakunukiaNimealikwa harusi ya sevilla...ni ln hiyo niibukie...?
Hahaa hakuna mahali liverpool ameitaja au team ya makumbusho ndiyo liverHivi Wewe Huwezi Kupost Kitu kwenye Uzi Wenu Bila ya Kuihusisha Liverpool?
Huu Ni Uzi Wa Man U, Na Liverpool tuna Uzi wetu! Kama unataka Kuiongelea Liverpool basi Njoo Kwenye Uzi Wetu Wa Liverpool ili members wote wazione post Zako ujumbe uwafike.
Mkuu Liverpool sio iliyokuzuia Mafanikio ya Ubingwa Msimu huu! Kwahiyo huna haja ya Kuilalamikia.
Huyu savage ni mpuuzi tu name haipendi Man utd kama ambavyo fans wa Man utd hawampendi.
DonDonald utakuwa na jinx. Umeacha kuangalia kipindi cha 2 timu imecheza vizuri.
Hivyo ndivyo unapaswa kucheza na Pep's team. Gegen style....siku zote Pep timu zake ushinda kwa ku-possess sana mpira. Ile game ambayo Scousers waliwapiga Shitty 3-0 ndiyo reference ya hivi karibuni.
Nina imani next season, United wata-compete for EPL and even UCL.
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Unanipangia cha kuposti? Shameless guy, kama hutaki kuona post zangu basi usiingie huku.Hivi Wewe Huwezi Kupost Kitu kwenye Uzi Wenu Bila ya Kuihusisha Liverpool?
Huu Ni Uzi Wa Man U, Na Liverpool tuna Uzi wetu! Kama unataka Kuiongelea Liverpool basi Njoo Kwenye Uzi Wetu Wa Liverpool ili members wote wazione post Zako ujumbe uwafike.
Mkuu Liverpool sio iliyokuzuia Mafanikio ya Ubingwa Msimu huu! Kwahiyo huna haja ya Kuilalamikia.
Ana inferiority complex, achana naeHahaa hakuna mahali liverpool ameitaja au team ya makumbusho ndiyo liver
Naona mlivyoshinda jana mnaongeeea...wakati half time mlikuwa mmepotelea cjui wp,,,Kwa ule mwendo anaokuja nao burnley nafas ya 7 inakunukia
Hahaa... Utd fans always like this. You will compete not with Mou. With Mou you will pollute.Hivyo ndivyo unapaswa kucheza na Pep's team. Gegen style....siku zote Pep timu zake ushinda kwa ku-possess sana mpira. Ile game ambayo Scousers waliwapiga Shitty 3-0 ndiyo reference ya hivi karibuni.
Nina imani next season, United wata-compete for EPL and even UCL.
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
He still the most successful manager for your clubHahaa... Utd fans always like this. You will compete not with Mou. With Mou you will pollute.
And I'm respecting that.He still the most successful manager for your club
Kasaidia mkuu usiogopePlaying style yetu inatucost sana....wengine tunajaribugi kuongea humu ndani ila wengine huwa wanamtetea Mou.....Mungu tusaidie tutoke salama