Afadhali nimtafute "Tashna" tuangalie weekend inakwendaje
Duh mabeki wa kati wa UTD leo mhh
Huyu kocha ata mwakani ndio hivi hivi team ina cheza kama level ya ndondo cup ata pasi 5 atupigiSterlingg tena...kabaki na goli kapaisha.
Tutawachinjia palepale kwao na guardiola wao![]()
Mourinho fala sana kocha huyu.