Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,154
- 14,114
mnapenda kusifiwa wakati nyie mnapenda kuponda...Shabiki wa arsenal anaejitambua, sio wale wachambuzi wetu wa jumba la makumbusho anfield,
mnapenda kusifiwa wakati nyie mnapenda kuponda...Shabiki wa arsenal anaejitambua, sio wale wachambuzi wetu wa jumba la makumbusho anfield,
Kwa hiyo wewe unajua mpira kuliko refa?Penati na red kadi
![]()
Mwambie aende CAS akashitakiKwa hiyo wewe unajua mpira kuliko refa?
Mbona unaongea kwa unyongemnapenda kusifiwa wakati nyie mnapenda kuponda...
Derby ijao fanya kutafuta filimbi ukachezeshePenati na red kadi
![]()
Puliza filimbi basi ufanye hayo maamuzi mkuu.Penati na red kadi
![]()
Kwema bibie?Huku kwetu mambo ni motooooooo!!! GGMU
Achwe akafunge auPuliza filimbi basi ufanye hayo maamuzi mkuu.
Stress za kichapo ni mbaya pamoja na kuwa na mabek ghali bado unalialia hapaMan Of The Match
![]()
Nimealikwa harusi ya sevilla...ni ln hiyo niibukie...?Mbona unaongea kwa unyonge
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Game ijayo wako na mtu mzima pochetinho kocha wa mipango.
Hili boga Harry kane atalipasua kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 737651
Kwani huyu city si alikuvupua nje ndani goli 6 auNimealikwa harusi ya sevilla...ni ln hiyo niibukie...?