Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha tafuta Grocery Store moja kachukue Budweiser za kutosha, Kilakshari atalipa

rubaman kaanza kuweka wazi hisia zake kuhusu Man Utd, karibu kwenye chama
Hakuna cha hisia. Nataka wafungwe mechi at least 2 msimu huu (EPL). Ila game lilivyoanza inaelekea hamna lolote leo, 2-0 sasa . Na kwa mwendo huu watalibeba by 50 minutes mark.
 
Sterliiiing kabaki na goli kapaisha ha ha haaaa
 
Hakuna cha hisia. Nataka wafungwe mechi at least 2 msimu huu (EPL). Ila game lilivyoanza inaelekea hamna lolote leo, 2-0 sasa . Na kwa mwendo huu watalibeba by 50 minutes mark.

Afadhali nimtafute "Tashna" tuangalie weekend inakwendaje

Duh mabeki wa kati wa UTD leo mhh
 
Sanchez tatizo kubwa..Mou fanya mambo mapema angalao Rashford achukue nafasi yake.
 
Wapi Pogba, wapi Alexis, wapi Lukaku? Pesa mingi imemwagwa kama ujenzi wa barabara Dar foleni ipo pale pale
 
Back
Top Bottom