Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I kept on saying this and i will keep on saying this. [HASHTAG]#JoseMourinho[/HASHTAG] isn't the right man for the Job. We have one of the best squads in the League. We have one of the best Goalkeepers but the problem isn't with the players, its with the coach and his tactics. Imagine last Year, that small sevilla team was knocked out by a minor Leicester team. Please Man UTD board we are tired of The Bus Minded coach. And by the way i don't care about what Arsenal fans say, I'm having 3 European League trophy unlike them who have none. For Chelsea fans, Today is your day, And for the city fans Don't worry your having Bayern in your way. U can Ask Arsenal how bitter it is.
Manchester will remain great but mourinho must Go.
 
Cha ajabu sub ingefanya kazi mngesema Maurinho ni master of tactics!
Kwa mechi ya jana sub ya pogba ili kuwa ni haiwezekani. Wazungu wanasema IMPOSSIBLE ile sub ya pogba kufanya kazi katika mechi kama ule ya jana
 
Tushapigwa..Kocha mpumbavu huyu unamtoa Fellaini alikuwa anazunguka uwanja wote unaingiza Pogba!!! Ona anaharibu zaidi anamuingiza Martial huyu mvivu mkubwa...ngoja nikalale


Hahahhahahahhaha

Pole buana, na sisi Liverpool tuliumia hivi hivi jumamosi!

Tatatizo mnaongea sana, punguzeni maneno!

Ndio maisha ya mpira hayo, unafunga na kufungwa!
 
Numbisa mdogo wangu jana ki ukwel Mourinho alibet ile mech kabisa unamuanzisha fellain ambae miez minne alikua majeruh unamuacha pogba mata na McTominay ambao walicheza vizur mech na Liverpool jana kule mbele mipira ilikua haitulii na hata final passes hazikuwa nzur
Lakin naona kama alipotoka bigfella uchochoro nukapatikana Pale sub ilkuwa mctom alifaa na si Pogba
 
Nasikia kuna msiba mkubwa sana humu, poleni sana Manure ndio mpira huo unashinda leo kesho na wewe unafungwa.
 
dah ila Mou nae anajitakia majaribu mengine........huu mfumo wake wa mshonge kila akilazimisha kuutumia huwa hamletei matokeo ila cha ajabu anakomaa nao tu hii 4-2-3-1 , kwa muono wangu unatakiwa uwe na midfield wenye nidhamu na aggressive kusukuma team sana sana.

mfumo ninaona hata wachezaji wanaupenda ni 4-3-3 ila nashangaa jamaa anawalazimisha wacheze na mshonge wake tu.

Fellain huwa ni mzuri endpo team inacheza vizuri au imewazidi wapinzani ila kinyume chake huwa ni majanga

lakini hatuna namna , kila kocha ana madhaifu yake. akuna kocha atatupa furaha mara zote. Kuna kipindi ata Fergason alikua anafanya fyongo za ajabu ajabu.

kikubwa Ed Wood aendelee kumtimizia mahitaji yake ya wachezaji anaowataka Mou
 
Back
Top Bottom