DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Huwezi kumlaumu EB kwa ile own goal bana,pale wa kulaumiwa aliyeruhusu kirumbirumbi kilePamoja na kosa la kocha. Angalia lawama za hawa wanaomlaumu kocha mmoja wao juzi juzi hapa alikua anasema man u walishinda kibahat sababu ya sub utadhan sub hairuhusiwi au wale wachezaji sio wa man u. Tusiwe kama arsenal fans,mou anakosea sana ila mechi ya jana kama tungeshinda haya makosa yake hakuna ambae angeyaona.
Lile kosa la bailly kujifunga mechi ya liverpool halikuonekana sababu ya ushindi ila kama liver wangerudisha magoli zaid na ushind juu bailly na mou wangekua kwenye lawama kubwa,juhudi zake zote zingesahaulika. Tukubali tu matokeo.
then usirudie tena kufananisha mashabiki wa arsenal na vitu vya kijingaManure out....
