Kweli mkuu kama juve kapitia uzoefu kitu ambacho ni rahisi san a kwa pochetino kubadilika
I surely aree wth yu ts better to have pochtno rather than moo
Jamaa yule anajua na pale kashika toti angalia sajili zake ize sana lkn ana bonge lakikosi vp akipewa timu kama man u mpunga kibao naamini atasajili vilivyo nakufanya makubwa
Yes Mkuu...
Jamaa kiasi chake mchanga lakin atakomaa huko huko..
Pia anaenda na wakati,,
Ana Dembele, Dier, Wanyama, Sissoko, ana wa-accomodate vizuri sana hasa wanapokua vizuri kimpira,,
Serge Aurier, Tripier wanacheza vizuri,
Davies as well, Vortenghen, Sanchezi, wapo good pia
Kwetu hata Pogback anaanza kupotea..
Anyway Mkuu,,
Binafsi namwelewa san The Special One... Kafanya Makubwa sana katika Footbal kuanzia 2000's
Ila huenda Viatu vya Babu Ferg vmekuwa vikubwa
Sana sana tuwe wavumilivu.. Sina shaka Bodi inajua mambo zaidi,, ila kwa utashi mdogo tu Bodi ile Chini ya yule Mwana-uchumi inafanya poa katka masoko kulko football..
Real Madrid Perez ypo poa sokoni n pitch pia..
We have to Change.
Galacticos toka kwa LvG ila top 4 n hadi presha zpande na kushuka... Kikosi cha kwanza hakieleweki mpaka kesho.. Kwa nn Banega asikukimbize??
Ramon Sanchez kama sio umahiri wa Dave tungelala,,
Murriel katukosa kama two times jana,,
Kwa kifupi kama shabiki wa soka,, Sevilla walistahili kushinda.. Tumepata tlichostahili..
Hata Muñchen,, Barcā, Rēal even PSG kna sku wanakuwa vibaya,, but Utd imekuwa majority of the Season... Sio kwa Hudder,, sio kwa kna Jonjo, sio kwa Motip,
For sure kama Utd hii ingekua n pepa Ninge-disco maana sjui nn shida