Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli mkuu, binafsi sijawah kuona mchezaji aliyeibuliwa na Morinyo labda kule Fc Porto 2004

Hata sajili za wachezaji huwa anavizia aaone mchezaji anafukuziwa na vilabu vingine ndio nayeye anajichomeka pale
Kocha kilaza anayelindwa na bahati
 
Hahah!! Mkuu kwa mashabiki huu ni kama ugonjwa sijui, ona ata Arsenal walivyokua wanampigia kelele Wenger kuondoka lakini wameshinda game mbili tu sasa hv wametulia tuli
Hahaha still [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG]
 
This is Man United's Manager talking:

“I sit in this chair twice in the CL & I knock out Man United at home, at Old Trafford,”.
“I sit in this chair with Porto, Man United out,".
"I sit in this chair with Real Madrid, Man U out, so I don’t think it’s something new for the club.”
 
Ugonjwa kabisa,naona na saiv mashabiki wa arsenal wanachekelea man u kutolewa UCL so wanaona kama kumkomoa sanchez.
Hahah!! Mkuu kwa mashabiki huu ni kama ugonjwa sijui, ona ata Arsenal walivyokua wanampigia kelele Wenger kuondoka lakini wameshinda game mbili tu sasa hv wametulia tuli
 
Mmmh aiseee kuna mashabiki wa ajabu humu timu ikishinda pongezi nyingi kwa kocha ikishindwa kocha anatupiwa lawama za kila aina. Ndo maana soka la Tanzania haliendelei kwa kusikikiza mashabiki uchwara wasio na uvumilivu
Numbisa mdogo wangu jana ki ukwel Mourinho alibet ile mech kabisa unamuanzisha fellain ambae miez minne alikua majeruh unamuacha pogba mata na McTominay ambao walicheza vizur mech na Liverpool jana kule mbele mipira ilikua haitulii na hata final passes hazikuwa nzur
 
  • Wissam Ben Yedder's first goal was the fastest scored by a substitute in the Champions League this season (87 seconds).
 
Yani Haya Maneno anayoyasema Kocha Basi Hata Kocha Wa Chandimu Kule Mbagala Hapaswi Kuyasema.
Sikiliza mwenyewe uone! This Man truly Ni Destroyer and he'll turn you Upside-down.

Pamoja na kosa la kocha. Angalia lawama za hawa wanaomlaumu kocha mmoja wao juzi juzi hapa alikua anasema man u walishinda kibahat sababu ya sub utadhan sub hairuhusiwi au wale wachezaji sio wa man u. Tusiwe kama arsenal fans,mou anakosea sana ila mechi ya jana kama tungeshinda haya makosa yake hakuna ambae angeyaona.

Lile kosa la bailly kujifunga mechi ya liverpool halikuonekana sababu ya ushindi ila kama liver wangerudisha magoli zaid na ushind juu bailly na mou wangekua kwenye lawama kubwa,juhudi zake zote zingesahaulika. Tukubali tu matokeo.
Numbisa mdogo wangu jana ki ukwel Mourinho alibet ile mech kabisa unamuanzisha fellain ambae miez minne alikua majeruh unamuacha pogba mata na McTominay ambao walicheza vizur mech na Liverpool jana kule mbele mipira ilikua haitulii na hata final passes hazikuwa nzur
 
Pamoja na kosa la kocha. Angalia lawama za hawa wanaomlaumu kocha mmoja wao juzi juzi hapa alikua anasema man u walishinda kibahat sababu ya sub utadhan sub hairuhusiwi au wale wachezaji sio wa man u. Tusiwe kama arsenal fans,mou anakosea sana ila mechi ya jana kama tungeshinda haya makosa yake hakuna ambae angeyaona.

Lile kosa la bailly kujifunga mechi ya liverpool halikuonekana sababu ya ushindi ila kama liver wangerudisha magoli zaid na ushind juu bailly na mou wangekua kwenye lawama kubwa,juhudi zake zote zingesahaulika. Tukubali tu matokeo.
Mim sijakataa kuhusu haya matokeo tumeshafungwa na tumeshatolewa ila tactical way alichemsha sana ile jana na hawez kukimbia hilo kwenye kusifia atasifiwa ila kwenye kukosea atakosolewa pia
Sina shida na mfumo wa Kocha ndio ameamua kuwa hvyo ila kuna mech hyo mifumo haiwez kufanya kaz
 
😀😀😀😀

Champions League Whatsapp group

Liverpool (online)

Chelsea (is typing)

Bayern (online)

PSG (left)

Madrid (online)

Tottenham (left)

Juventus (online)

ManCity (online)

Barcelona (is typing)

Arsenal(Last seen December 2016)

Manchester United(Last seen: 10 hours ago)
 
he he heeeeee.wavulana out,wamebaki wanaume sasa.mtoto hatumwi dukani
 
Back
Top Bottom