Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
Na wewe ni miongoni mwa wadau wale Pro-MourinhoKama mimi ni mmiliki wa Man Utd namfukuza Mourinhp immediately!
Na wewe ni miongoni mwa wadau wale Pro-MourinhoKama mimi ni mmiliki wa Man Utd namfukuza Mourinhp immediately!
Wakati nyie mnahitaji mbili, wao wanahitaji goli moja lingine tu ili mzikwe rasmi!Jamaa walimtunza huyu muuaji wao. Wako vizuri. Tunahitaji goli mbili ili tupite. Mou mavi yanambana Leo.
aahhaa! Usikasirike sana Mkuu, mambo ndiyo yameshatokea, tuangalie mwakani. Mwaka wa ukame huu.Kama mimi ni mmiliki wa Man Utd namfukuza Mourinhp immediately!
Kwani DeGea hayupo?Wayaaaaaaaaaaaaaa Leo hakuna SAVE
Atakuwa hayupoKwani DeGea hayupo?
2-1 sizani kama itasaidia mkuu mda umeenda hayarudi hayo2-1
But we will wish we wouldnt conced the second goal