Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa Haya Ni Maajabu!!!! Hivi Baada Ya Kumaliza Mechi Kwenye Mahojiano Yake Mourinho anahisi Hii ndiyo excuse Yake? Kwani Anapotafuta utetezi lazima amtaje Liverpool? Au Liverpool kahusikaje hapa? Mbona Tulipotolewa #FA na [HASHTAG]#Carabao[/HASHTAG] Klopp Hakuitaja Manchester Kama Sehemu ya Utetezi Wake??
Huyu Kocha Haachi Visa na Kuwazunga Mashabiki Wake!!!
Hata Ferguson hakuwahi kuwa na visingizio kama Hivi...
😀😀😀

Maneno ya Kocha Wenu Haya: “Liverpool has the Champions League but they don’t have the FA Cup"
 
Mim sijakataa kuhusu haya matokeo tumeshafungwa na tumeshatolewa ila tactical way alichemsha sana ile jana na hawez kukimbia hilo kwenye kusifia atasifiwa ila kwenye kukosea atakosolewa pia
Sina shida na mfumo wa Kocha ndio ameamua kuwa hvyo ila kuna mech hyo mifumo haiwez kufanya kaz
Pamoja na hayo, niliona kama wachezaji walikuwa wazito sana...sikutegemea kama wangekuwa slow kihivyo, ni kama walikuwa hawajui wanachofanya which means si kosa la kocha ila ni wachezaji wenyewe hakuna ambaye alikuwa anafeel umhimu wa game zaidi ya Valencia na Young wengine walikuwepo kuwepo tu!! Hakukuwa na morali yeyote, Sanchez is a looser, wengine hawana experience nzuri ya CL hivyo machungu ya kutolewa ndo kwanza wanaanza kuyaona
 

Wanapokezana huko
Leo zam ya Conte


Kesho cjui Kama Wenger
Atatuokoa wagunnes
ila tuache kujifariji...kati ya konte na mor nani atatoka kwa aibu? maana tukiangalia ugumu wa timu walizokuwa wanakutana nazo!

mmh, morinho bwana!
 
THEATRE OF FALSE DREAM


IMG_20180314_111938.jpg
 
ila tuache kujifariji...kati ya konte na mor nani atatoka kwa aibu? maana tukiangalia ugumu wa timu walizokuwa wanakutana nazo!

mmh, morinho bwana!
Mou ndo wakubeba aibu
Zote
 
😀😀😀😀

Champions League Whatsapp group

Liverpool (online)

Chelsea (is typing)

Bayern (online)

PSG (left)

Madrid (online)

Tottenham (left)

Juventus (online)

ManCity (online)

Barcelona (is typing)

Arsenal(Last seen December 2016)

Manchester United(Last seen: 10 hours ago)
 
Pamoja na kosa la kocha. Angalia lawama za hawa wanaomlaumu kocha mmoja wao juzi juzi hapa alikua anasema man u walishinda kibahat sababu ya sub utadhan sub hairuhusiwi au wale wachezaji sio wa man u. Tusiwe kama arsenal fans,mou anakosea sana ila mechi ya jana kama tungeshinda haya makosa yake hakuna ambae angeyaona.

Lile kosa la bailly kujifunga mechi ya liverpool halikuonekana sababu ya ushindi ila kama liver wangerudisha magoli zaid na ushind juu bailly na mou wangekua kwenye lawama kubwa,juhudi zake zote zingesahaulika. Tukubali tu matokeo.
Sub n Kwa ajili yenu na
Wachezaj n wa man u ndyo skatai

Ila na Jana bhas angefanya sub
Ya mapema na ya maana kama
Ile ya castle palace

Dk ya 80 anafanya sub kama alikua
Anafkuzwa yan anangiza martial,na mata
Dk 10 mpira kuisha na anategemea gol
3 Kwa mda huo

Kupoteza ile game n makosa
Ya kocha wenu sometimes
N kama anavuta cha arusha
 
Wakuu najiunga na Mashabiki wa Man Utd ulimwenguni kote kuumia moyoni kutolewa mapema UCL na Seville..

Tunasubili World Cup tu hakuna kingne tena,,,
Tunashukuru ubutu wa Chelsea pengne story zingekua zingine..

Ila kuna wakati tunatakiwa tujue nini hasa shida ya Manchester Utd??
Falsafa ya Mwl?
Mbinu zake uwanjani??
Wachezaji wa kawaida??
Wachezaji hawapambani??

Utd ni team kubwa kama Jose kachemka/atachemka
Sijui nani anaweza kuokoa jahazi,, but any way tujiunge na wenzetu wa... Next Season...
Yule gadiola tungempata aisee daah
 
Hazizidi Siku NNE zilizopita hapahapa Mulimmwagia Misifa Mourinho Kuwa Ni Bonge la Kocha Anaejuwa Kutafuta Ushindi Kwa Mbinu Tofauti na Mukadai Anapotaka Ushindi Huwa Hashindwi Kuupata.

Leo Hii Kawa Mjinga! Mara aondoke! Hivi Ni Kweli Tokea Awali Muliamini Kuwa Mourinho Anaweza Kuwapa Furaha yenye Kuendelea?

TENA KUNA MADOGO HAPA ETI WANADAI MOURINHO AMEWARUDISHIA TIMU KAMA YA SIR FERGUSON!!!! HUKI NI KUMDHALILISHA BABU KWA KUMFANANISHA NA MOURINHO.

Mourinho ana mbinu za kumkamia Chelsea na Liverpool tu basi ambazo akishinda Mechi Hizi Mbili Ndiyo Munamuona Ni Mtu Mjanja Sana.
Kwauandishi uu sijui utakuwa kabila gani mkuu
 
Watani mbadilike sasa.
Style yenu it’s too conservative especially mkiwa mnacheza uwanja wa nyumbani. Kwa style hii mtawafunga Liverpool tu
 
Back
Top Bottom