Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunashukuru sana kwa moyo wako wa kiungwana

Tungeshukuru zaidi kama na jumamosi iliyopita ungekuja kutufariji pia

Nilitoa pongezi zangu hapa,pitia juu!
Liverpool tulijifunga wenyewe,hakukuwepo na bao la kutengenezwa pale!
Seville hawajafanya makosa yyt ya kiufundi wamewachabanga kwenu
Huwezi tegemea De Gea aupige mrefu,Lukaku apige kichwa kwa kichogo then mfunge!
Inabdi sasa mcheze soka!!
 
Huu uongo sasa
Umezidi sana
 

Okay.... kama jumamosi ulionekana kwenye hili jukwaa basi itakuwa ni usiku sana, ila hongera kwa kutoa pongezi ya ushindi jumamosi

Hapo kwenye nyekundu ninapata ukakasi kidogo kupaelewa vizuri, maana kabla ya mechi hiyo ulisema hivi

Man United hii haiwezi mfunga Liverpool hata wachezee Tunduru!
Nafasi ya PILI ni ya Liverpool

Sasa sijui hukujua kuna "Liverpool Kujifunga wenyewe"

Dah bado msimamo wako upo vile vile kuhusu nafasi ya pili?
 
Tukubali matokeo, tukubali maoni ya wadau, tuheshimu mawazo ya mashabiki.

GGMU
 
Sawa nini amefanya sasa? Mimi mpira sijaanza Leo namjua manywele ni mzito. Kama unasema watoto hawatakiwi rashford na pogba nani mtoto? Na lingard na martial nani mtoto? Fellain anacheza kukaba tu muda wote ngoja apigwe zake bei aondoke
 
Leo tunaua tena...
Nyuma=Valencia,Smalling,Baily, Young
Hapa kati=Mata, Fellaini
Pale mbele=Rashforrrrd,Sanchez,Lingard
Mwisho kabisa=Lukakuuuu


Mumeua na Mumeshazika! Mulizani Mpira unachezwa Kwenye Keyboard?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tushapigwa..Kocha mpumbavu huyu unamtoa Fellaini alikuwa anazunguka uwanja wote unaingiza Pogba!!! Ona anaharibu zaidi anamuingiza Martial huyu mvivu mkubwa...ngoja nikalale
Rukiwaambia Mou ni msimamizi wa mazoezi huwa mnakuwaga wabishi sana. Sa hivi ndio mnakubali wenyewe
 
Mjaribu mwakani
Kwa sasa nendeni mkajaribu FA ndiyo makombe yenu toka aondoke Babu!
Is there any SAF CURSE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…