Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,101
- 1,909
Namuona Chamberlain akifanya makubwa zaidi akipewa nafasi.Very good perfomance from him
Namuona Chamberlain akifanya makubwa zaidi akipewa nafasi.Very good perfomance from him
Kabisa!City anatusafishia njia ya top four
View attachment 705411
Mo Salah has been named PFA Player of the Month for February
√ His 3rd PFA monthly award this season.
• 3 appearances
• 4 goals
• 6 chances created
• 2 assists
• 5/7 take-ons
• 40% shots-to-goals conversion
Naona mnafurahi wenyew humu ndani,,tarehe kumi kama hakutakua na "klopp out "basi kutakua na "average players ndo wanatuangusha Liverpool"
Naona mnafurahi wenyew humu ndani,,tarehe kumi kama hakutakua na "klopp out "basi kutakua na "average players ndo wanatuangusha Liverpool"
.kwa wachezaji gani bora waliokuwa nao man? Wamebaki majina tu uwanjani ni average player.subiri mpate aibu hiyo umetumia gharama nyingi kusajili majina makubwa uwanjani wanatembea tu.Naona mnafurahi wenyew humu ndani,,tarehe kumi kama hakutakua na "klopp out "basi kutakua na "average players ndo wanatuangusha Liverpool"
Chelsea sio nyumbani mkuu???Gemu zetu 9 za [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] zilizobakia ni:-
√ Man Utd (A)
√ Watford (H)
√ Palace (A)
√ Everton (A)
√ B'mouth (H)
√ WBA (A)
√ Stoke (H)
√ Chelsea (A)
√ Brighton (H)
Home (H} Ni 4 na Away (A) Ni 5.
Iwapo Tutashinda Mechi Zote 4 za Home na Kujikusanyia Points 12 na Katika Michezo 5 Ya Away Tukatoka Sare Mechi 3 (Palace, Everton & WBA) na Kupoteza Mechi 2 (Manure & Chelshit) basi Tutajikusanyia Points 15 Katika Hiyo Michezo 9.
Ukijumlisha Hizo Points 15 na 60 tulizonazo basi Tutapata Jumla ya Points 75.
Hizo points are enough to be in a Comfortable zone..
Mechi ya kwanza 1 - 1 Anfield MkuuChelsea sio nyumbani mkuu???