Fact wanachonga sana naoMourinho: “I read something from the worst manager in the Premier League. Frank De Boer where he is saying it’s not good for Rashford to have a coach like me. If he was coached by Frank he would learn how to lose because he lost every game.”
Huyu dogo namkubali sana yani ana utulivu fulani hakika hatochukua muda kukomaa.......hapa mnajaribu kuchanga karata vizuri.....Maureen ananifurahisha sana kupitia scotNemanja Matic has revealed it’s a joy to play next to Manchester United young midfielder Scott McTominay.
“Scott is fantastic,” Matic said.
“It is a joy to play next to him. He fights for the team, he runs a lot.
“He plays like he already played five or six years in the Premier League, but he’s still young.
“He’s fantastic. He was one of the best players on the pitch, so I am happy that we have him in the team, and he needs to continue in this way.”
Kweli mkuu dogo naona kuna ka mwanga juz nliogopa sana kiungo cha can na ox wavurugaji sana wale ila baada ya kuona anavyopora mipira nkatulia huyu naona anamfanya matic kuwa vizur sana akiwa na pogba matic anapotea sanaHuyu dogo namkubali sana yani ana utulivu fulani hakika hatochukua muda kukomaa.......hapa mnajaribu kuchanga karata vizuri.....Maureen ananifurahisha sana kupitia scot
Wamtengeneze vizuri anaweza kuwa next PS maana hata rangi wanafanana ila asirithi utukutu tu maana Paul sijui alikuwa anakula ganja za wapi akiwa ground anawehuka kabisaaaaaaaKweli mkuu dogo naona kuna ka mwanga juz nliogopa sana kiungo cha can na ox wavurugaji sana wale ila baada ya kuona anavyopora mipira nkatulia huyu naona anamfanya matic kuwa vizur sana akiwa na pogba matic anapotea sana
There is only one paul scholes..nyie ndio mnaharibugi wachezaji!!Huyo Scott wakawaida sana Centre midfielder gani always yuko kwenye half yao tuu...but he is still young so anaweza aka improveWamtengeneze vizuri anaweza kuwa next PS maana hata rangi wanafanana ila asirithi utukutu tu maana Paul sijui alikuwa anakula ganja za wapi akiwa ground anawehuka kabisaaaaaaa
Hata mbuyu ulianza kama mchicha,kwani paul scholes alivyokuwa bwan mdogo hakuwa na kiwango alichokuwanacho alivyokuwa matured ktk soka....tumpe muda dogo tu,kwani kiwango cha CR7 alichokuwa nacho sporting lisbon ni sawa na alichokuwa nacho alipokuwa united??????anapopata muda mwingi wa kucheza ndio anaimprove.....inaweza ikawa au isiwe pia kama ilivyokuwa kwa kina wilshare n.kThere is only one paul scholes..nyie ndio mnaharibugi wachezaji!!Huyo Scott wakawaida sana Centre midfielder gani always yuko kwenye half yao tuu...but he is still young so anaweza aka improve
Ulitaka akacheze pa lukaku?There is only one paul scholes..nyie ndio mnaharibugi wachezaji!!Huyo Scott wakawaida sana Centre midfielder gani always yuko kwenye half yao tuu...but he is still young so anaweza aka improve
je unataka kuwa maarufu ndani ya muda mfupi?Mourinho: “I read something from the worst manager in the Premier League. Frank De Boer where he is saying it’s not good for Rashford to have a coach like me. If he was coached by Frank he would learn how to lose because he lost every game.”
Ila ni ukweli pia usiopingika kwamba Mou huwa haamini sana vijana Wa kuwaibua toka kwenye youth ranking za vilabu husika anavyofundisha. Na ndio maana inadaiwa Ferguson ndiye aliyemsisitiza na kumshauri sana juu ya kuendelea kukaamini hako ka mc tominay. Angalia Chelsea wachezaj aliojaribu kuwaibua mwisho Wa siku akawatoa kwa mkopo na wengine kuwauza jumla. So Mara nyingi hununua wachezaji ambao tayari wametengenezwa na timu zingine bila kujali umri waoje unataka kuwa maarufu ndani ya muda mfupi?
mzungumzie jose felix mourinho.
ukiondoa suala la aina ya soka analocheza mourinho mimi sijaona kosa jengine kubwa alilonalo mourinho, frank de boer na wapuuzi wengine waache kutafuta huruma kupitia mgongo wa mourinho.
- msimu wa 2004 fc porto walibeba kombe la ulaya wakiwa na wachezaji wa kawaida na wenye umri mdogo ukilinganisha na wachezaji wanaocheza kwenye ligi kubwa 3 za ulaya, deco, costinha, carvalho, bosingwa, maniche, ferreira, mccarthy, jorge costa, alenichev walitambulishwa kwenye ulimwengu wa soka na mourinho, inamaana frank de boer hafahamu suala hili.
- mourinho alipofika chelsea aliendelea kumpa nafasi john terry, alimsajili drogba ambaye hakuwa mshambuliaji maarufu, petr cech alikuwa bado kijana, joe cole, scott parker, frank lampard, glen johnson, darmien duff,wayne bridge, arjen robben,essien,obi wote hao hakuna hata mmoja aliyekuwa na umri zaidi ya miaka 25.
- mourinho alipofika real madrid alimsajili rafael varane akiwa na miaka 18 na alikuwa mbadala wa pepe kwenye mechi nyingi , inamaana frank deboer hafahamu hili?
- khedira, ozil,dimaria,marcelo, benzema, higuain walikuwa na miaka 40?
- mactominay, tuanzebe, joel perreira, andreas perreira,fosu mensah, angelo gomez wote hawa wana miaka 70?
OkUmeuona utaahira wako hapo????hakuna klabu iliyokosa mashabiki hata misosi fc ya kwetu tandale ina mashabiki ........
SawaJamani Mimi bado naendelea kukosoa mpira tunaocheza mfano kwenye game ya Liver timu iliwahi sana kurudi nyuma kwa dk karibia zote za second half. Tukicheza vile na Sevilla balaa kubwa linaweza likatukumba na wengine tukafa hata kwa presha. Mimi huwa naumia sana na kustuka sana pale tunavyokuwaga tumerudi nyuma halafu dk zinayoyoma na wakati huohuo tunakoswa mabao balaa. Kuna siku watu watahisi wamepigwa kisu cha moto moyoni pale tutapofungwa goli lenye madhara dk za mwisho hasa kwenye game kama hii ya Leo ambayo ni knockout stage.