Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu,

Nilimuelewa jamaa ndio maana nikaandika "Labda", ila kiukweli Chelsea ni timu ndogo; YES ni timu ndogo kuifananisha na na Manchester United

Haters always wanaongea vibaya kuhusu Utd, as long as Lukaku anatufungia magoli hatujali anawafunga Swansea au Burnley inatosha
Lukaku alikuwa anawaburuza pale Mbele, mara nyingi kulikuwa na Beki wawili mpaka watatu bado anawatoka. Assist ya goli amewabuzura wawili na watatu alikuwa Mbele yake. Ile volley aliyoitoa kipa ilikuwa inaleta goli la video.

Kwa ujumla tunafuraha sana Leo.
 
Chelsea hawana beki!? Duh!
Kuna beki amecheza mpira zaidi ya Azpillocueta msimu huu pale EPL? Rudigar waweza kumlinganisha na Ashel Young? Christensen anazidiwa na beki yupi wa kati pale Man U?


Unaamaanisha Mabeki hawa Waliomuhonga Goli Messi na Wakamuhonga Goli Lingard au?
Auabeki wale Waliogongwa NNE na Watford?
 
Mnabwabwaja sana nlikwambia huna ubavu wa kushinda pale subir mechi ya barcelona uwe unakamia umeona lukaku anavyocheza na timu ndogo?
Ni kawaida ya mashabiki wa Man Utd. Eti Lukaku anavyocheza na timu ndogo. Ingekua timu ndogo ungepaki basi.? Mengine ngekewa tu mchezaji mmoja ndio anaibeba timu na ukubali ukatae huna kocha.

Mechi 15 zilizopita Chelsea Vs Man U umeshinda 2 nimekufunga 8 draw 5.

Mi nimekubali umenifunga
 
Back
Top Bottom