Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuitakieni kheri timu yetu Wakuu

Kipindi cha mpito tu hiki japo kigumu sana

One day zle beki mbovu hazitakuwepo pale

Wale viungo wasio na uwezo hata wa kupiga pass za macho hawatakuwa pale

Wale viungo wasio na uwezo wa kukimbia kwenda mbele hawatakuwepo pale..

Na ule mfumo usiojulkana hautakuwepo tena

Na yule mkufunzi mbishi natumai atabadilika
Unless ndoto zake zipotee mithili ya mshumaa katika upepo...

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Almighty God Be With Us..
Sawa mkuu
 
Ila Chelsea hawana beki wala forward ...viungo wao ndo msaada wao....ko mourinho inabidi awe makini pale kati....
Chelsea hawana beki!? Duh!
Kuna beki amecheza mpira zaidi ya Azpillocueta msimu huu pale EPL? Rudigar waweza kumlinganisha na Ashel Young? Christensen anazidiwa na beki yupi wa kati pale Man U?
 
9d20703b2a2b3b82e54e58f8aed8aa86.jpg
formation ya leo.
 
Chelsea hawana beki!? Duh!
Kuna beki amecheza mpira zaidi ya Azpillocueta msimu huu pale EPL? Rudigar waweza kumlinganisha na Ashel Young? Christensen anazidiwa na beki yupi wa kati pale Man U?

Mkuu Leo utaukimbia Uzi Wa Man U manake huenda Wakakufanya Kitu Mbaya sana!
 
Nimefurahi kumuona Scot Mctominay amsaidie pogba humor ndani. Naamini kama tukienda na approach ya Ku attack tutashinda
 
Attachments

  • Screenshot_20180225-160833.png
    Screenshot_20180225-160833.png
    17.7 KB · Views: 47
Nimefurahi kumuona Scot Mctominay amsaidie pogba humor ndani. Naamini kama tukienda na approach ya Ku attack tutashinda
hamna ki2 hapo ! huyo young,smalling na martial kutokea kulia watazingua sn
 
Wakuu habari zenu naona mmetulizana hapa mnapanga kuweka basi na kumtumia mshambuliaji wenu de gea maana kila saa anasikika yeye tu
 
Back
Top Bottom