Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

4995323000000578-0-image-a-140_1519573485749.jpg
 
Ni kawaida ya mashabiki wa Man Utd. Eti Lukaku anavyocheza na timu ndogo. Ingekua timu ndogo ungepaki basi.? Mengine ngekewa tu mchezaji mmoja ndio anaibeba timu na ukubali ukatae huna kocha.

Mechi 15 zilizopita Chelsea Vs Man U umeshinda 2 nimekufunga 8 draw 5.

Mi nimekubali umenifunga
Suala ni kwamba nlikuambia ntakufunga haijalishi ni mbinu gani hapa tunongelea ubao unasomaje.

Hata mwaka jana ilikuwa ngekewa safar hii walau umeambulia ka goli.
 
Ni kawaida ya mashabiki wa Man Utd. Eti Lukaku anavyocheza na timu ndogo. Ingekua timu ndogo ungepaki basi.? Mengine ngekewa tu mchezaji mmoja ndio anaibeba timu na ukubali ukatae huna kocha.

Mechi 15 zilizopita Chelsea Vs Man U umeshinda 2 nimekufunga 8 draw 5.

Mi nimekubali umenifunga
Huyu dogo unamuona?
FB_IMG_1519576320731.jpg
 
Yaaani acha tu nawamiss sana majukumu mengi mara nyingi nipo sehemu hamna network kaka ila siku moja moja napita kuwafariji na kutoa morali

Endelea kupambana mpaka ufikie uwezo wa kununua shares za kila Glazer Family pale Old Traford
 
Back
Top Bottom