Ni wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo.Kama matatizo yake ni hayo, si yanatatulika lakini
Vipi kuhusu mchango wake kwenye timu? au hana
Mzee kaamua kupaki mapemaaaa dahBaily for Sanchez
Tumeshawapiga 2-1 dakika ya 83 sasa.Ngapi ngapi
Mkuu siku mbaya kwako yani 2nd place umekaa masaa 21 tuHichi kitu sitokisahau
This is Manchester United bhanaaaNi wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo.
Lukaku akikutana na timu ndogo ni moto.
Huyu kocha ana matatizo kocha wa kubahatisha tu alikuwa anabebwa na wachezajiHichi kitu sitokisahau
Yap ya kutembea kama amebanwa na aja kubwaNaona Pogba karudisha makali yake