Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Suala ni kwamba nlikuambia ntakufunga haijalishi ni mbinu gani hapa tunongelea ubao unasomaje.

Hata mwaka jana ilikuwa ngekewa safar hii walau umeambulia ka goli.
Hahaha !! leo hamna blaa blaaa waswahili wanasema ukipata furahi ukikosa jutia wacha leo tufurahi sisi hahahahhahha weeeeeitaaaaaaaa mpe kila mmoja !!!

Kesho naingiaje kidume kaziniii watanikomaaaa! !!!!
 
Asnte pia hongera
Kwa nini uongelee game 15 tu? Kwa nini usifanye game 50. Usipende kuongelea historia unapozungumza na utd utapotea

Utd ndio imezifunga tim za uingereza mara nyingi zaidi kaa ukijua hilo. Chelsea ni 'my wife' wetu since way back na uefa ulituzawadia au hukumbuki?

Jioni njema kwa hisani ya [HASHTAG]#Mctommiy[/HASHTAG] ila miss ya [HASHTAG]#lukagoals[/HASHTAG] ingezama leo mngetubeba

GGMU
 
Utaua watu na presha
 
Kuna watu wanalaumu Mourinho kumtoa Sanchez na kumuingiza Bailly. Ile move ilikua ni lazima kwa sababu Conte alimtoa Moses akamuingiza Giroud kuongeza mashambulizi. So Bailly nae aliingia kwenda kuongeza ulinzi. Simple like that.
Sasa kuuliza why alimtoa Sanchez asimtoe mchezaji mwingine hilo ni suala na maamuzi ya kocha.
 
Kauli kama hizi hutaziona wiki nzima ijayo...
Hapana ushindi wa mechi moja hauwezi kutufanya kubadilisha mawazo juu ya Kocha Mou anajihami sana na hii imekuwa kawaida yake.

Ifike hatua wachezaji wacheze mpira wa kushambulia huku wanalinda sasa tukikaa kulinda Bila kufanya mashambulizi lazima Timu itakuwa mbovu kupindukia.

Ushindi wa leo na kesho hauwezi kunifanya niamini Mou ni chaguo sahihi kwa Man U.
 
Tokea fagason amestaafu ni kocha gani aliiwezesha timu kuwa namba mbili kwenye ligi na kuwa kwenye Uefa mpaka mwezi huu?
 
70113a339ffb3b77884d7fa2e56762e2.jpg
 
Kuna watu wanalaumu Mourinho kumtoa Sanchez na kumuingiza Bailly. Ile move ilikua ni lazima kwa sababu Conte alimtoa Moses akamuingiza Giroud kuongeza mashambulizi. So Bailly nae aliingia kwenda kuongeza ulinzi. Simple like that.
Sasa kuuliza why alimtoa Sanchez asimtoe mchezaji mwingine hilo ni suala na maamuzi ya kocha.
Kuna watu wanajidai wanajua mpira kuliko kocha
 
Ila umeumia sana maana ungenitoa nafasi ile uuhuhuhuhhhh ningekukomaaa!! Ningekuta post zako kama mia hivi hongera kwa kudumu masaa machache! ! Msalimie Ed n Edd nEddy

Kuna Kamsemo Unasema "VITA VYA PANZI ................" Hebu umalizie hapo Ndiyo utajua Katika Mchezo Wa Leo Nilikuwa Position gani! 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom