Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Inaumiza zaidi pale mnapocheza na timu iliyopanda daraja kama huddersfield lakini mnacheza kwa kuvizi.
Eneo letu la kiungo zaidi ya matic hakuna mchezaji mwingine mwenye footwork nzuri.
Tofauti na matarajio ya wenzangu wengi,bado sijaona kama uchezeshwaji wa pogba kwenye nafasi ya namba 10 unaweza kubadili uchezaji wetu na ukaleta matokeo chanya.
Mbinu za kocha naona ndio kikwazo na hata huku mtaani tumemtetea sana lakini uzalendo unatushinda.
Timu inapandisha mashambulizi na wachezaji 2-3 dhidi ya 6-7 ya wapinzani.
Utengenezwaji wa clear chances ni mdogo sana zaidi tunategemea lukaku atumie nguvu tu.
 
mou anatisha
06453410deee071246a97ddf22c5bb67.jpg
9b72984d9393df8fede33d3604481382.jpg
 
Humu ndani hadi raha hahahaha!! Watu wako too emotional!! Miaka hii kwetu maisha yamekuwa magumu sana toka Moyes, Van Gaal, sasa Mou mzoeee tu bandugu! Sasa ni kwenda kwa imani tu tena imani ya kuhamisha milima ha hah hahaha !! Ila the good things katika mateso haya kuna neema nyingi nyingi tu, so bado naendeleza ka msemo ka last
season tutafika tu!!
 
Mi mkuu sijakataa nafaham tunawachezaji wa kawaida sana hilo sijakataa hata kuna muda kocha anazingua nakubali ila sio kila muda tumpe madongo tu hata mm kuna muda sipend mchezo wa kujilinda tunapokutana na baadhi ya timu sio naunga mkono mwanzo mwisho hamna kocha asie chemka.
Piga picha Guadiola awe na Rashford, Lingarl, Pogba, Matic na Sanchez
 
Humu ndani hadi raha hahahaha!! Watu wako too emotional!! Miaka hii kwetu maisha yamekuwa magumu sana toka Moyes, Van Gaal, sasa Mou mzoeee tu bandugu! Sasa ni kwenda kwa imani tu tena imani ya kuhamisha milima ha hah hahaha !! Ila the good things katika mateso haya kuna neema nyingi nyingi tu, so bado naendeleza ka msemo ka last
season tutafika tu!!
Mc u mtani
 
Za siku dada angu? Naona umepotea sana aisee!

Kinachonifurahisha ni kwamba hakuna aliye salama, sio chelsea, arsenal, Manchester , wala liverpool wote ni kilio tu.
 
Haki ya mungu nasikiliza Anthem Ya Manchester United GGMU.

Napatwa na Jazba kubwa saaaaana nikiona team inavyopasi baki DAAAAH Lord have a mercy to us
 
Huyu Sanchez's mpaka namuona anakimbia kimbia tu uwanjani naye asije kuflop kama pogba tu maana hali tete sana kwetu tumtetee tu sababu ni kocha wetu lakini ni DHAHIRI SHAHIRI pale ni NEHIE.
 
Huyu Sanchez's mpaka namuona anakimbia kimbia tu uwanjani naye asije kuflop kama pogba tu maana hali tete sana kwetu tumtetee tu sababu ni kocha wetu lakini ni DHAHIRI SHAHIRI pale ni NEHIE.
Tatizo ni Kocha anavyowapanga.Hata Lukaku hamna kitu.Angalia Liver,Man city zinavyocheza ugenini tofauti.na hili li litimu la MOU.Kazi.kubutuabutua na uwoga nwingi
 
Kuna Kitu ameshakiona Kutoka Martial Ndiyo Mana! Hata Mimi Nimegundua Kitu Kwa Martial ambacho Ni Helpless Kwa timu.
Hana kiwango cha muendelezo leo yupo vizur kesho hovyo hata mbinu ya kupak basi kwa kocha inafeli wachezaj huwa hawana fom ya kueleweka hebu chukulia basi chelsea na form ya willin na hazard palr mbele hata kocha unashindwa kumponda mana muda wote barcelona wapo kwenye hatar japo mpora wanacheza wao baca
 
De gea na man utd ni km wamekutana tu uwanjani...de gea anadaka kimpango wake na timu inacheza kimpango Wake very sad...
Rudi nyumbani pia umeadimika sana mkuu kule wewe ni wamuhimu ndugu malafyale anaipenda timu na hataki mawazo tofauti na anachokiamini ila ije masika kije kiangazi yuko na timu mkubwa mosdef kama kawaida hekima zake zinasomeka,hii ni taarifa fupi ya nyumbani.Twendeni tukapanogeshe.
 
Klabu ya soka ya Manchester United wamerudi nchini Uingereza wakionekana hawana furaha sana baada ya kutoka sare na Sevilla katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán, usiku wa jana (Jumatano) kwenye kombe la klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa.
 
Acha uchokozi
 
Piga picha Guadiola awe na Rashford, Lingarl, Pogba, Matic na Sanchez
Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3

Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
 
Back
Top Bottom