Tunashinda, wee vipi?
Mbele ya wake zetu na watoto, wajomba mashangazi wapo uwanjani. Halafu tufungwe????
Be serious pls. ¿¿
What did i tell you,Vipi Leo ushindi au a nil draw kama kawaida yenu
FT: Man U 2 vs Chelsea 1 hureeeee
Hukumuona lindelof nyuma katikati scottHichi kitu sitokisahau
Tutake radhiWakuu habari zenu naona mmetulizana hapa mnapanga kuweka basi na kumtumia mshambuliaji wenu de gea maana kila saa anasikika yeye tu
Yani mm siamini kama huyu mctominay ni mchezaji wa kuanza man utd
Mkuu, naona mshambuliaji wetu de gea katupia goli mbili.Wakuu habari zenu naona mmetulizana hapa mnapanga kuweka basi na kumtumia mshambuliaji wenu de gea maana kila saa anasikika yeye tu
Dogo wakubwa huwa hatubabatishi tinachoongea.Nitakupiga kwa sababu ya ujeuri wako na ubishi. Kichwa kontena akili harage.
Jamaa kawa-mock ambao huwa wanasema Lukaku anazifunga timu ndogo tu. Maana leo kapiga goli na katoa assist. So kwa kauli ya Lukaku anazifunga timu ndogo tu, basi Chelsea nayo ndogo.Mkuu "labda" sijakuelewa, unamaanisha Chelsea ni timu ndogo? lol
Rudia maneno yakoDk 90 zitaongea mm nabet utapigwa zaid ya goli 4 kwa mpira ule wa kumtegea kipa tu
Sawa mkuu hongereniWhat did i tell you,
I told you, didn't i ?????? .
Mnabwabwaja sana nlikwambia huna ubavu wa kushinda pale subir mechi ya barcelona uwe unakamia umeona lukaku anavyocheza na timu ndogo?Kama wewe ni shabiki wa mpira unajua kitu kinaitwa experience. Goli tulilofungwa ni uzembe wa beki ambaye hana uzoefu na michuano hii, kwa iyo anakua anacheza kwa presha mihemko.
Kiuchezaji Barca alikua anakaa, game plan ilikua inahitaji kucheza vile. Ukifunguka unagongwa za kutosha na ndicho kinacho waponza Arsenal, huwa wanataka kucheza kama Barca ilihali hawana wachezaji kaliba ya Barcelona mwisho wa siku wanaishia kugongwa 4.
Tukutane weekend. Hapohapo kwenu. Muone huyo msimamizi wenu wa mazoezi atakavyo panic
Timu ndogo ni ipi???? Hapa nashindwa kukuelewaMnabwabwaja sana nlikwambia huna ubavu wa kushinda pale subir mechi ya barcelona uwe unakamia umeona lukaku anavyocheza na timu ndogo?
Jamaa kawa-mock ambao huwa wanasema Lukaku anazifunga timu ndogo tu. Maana leo kapiga goli na katoa assist. So kwa kauli ya Lukaku anazifunga timu ndogo tu, basi Chelsea nayo ndogo.